Wanapoteza mudaMataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura.
Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake...
Kobazi naona mnajifariji hilo halitawezekana wala hakuna wakuiwekea israel vikwazoMataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura.
Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake.
Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita.
UN members demand end to 'unlawful' Israeli occupation of Palestinian territories
‘Civilian objects should not be weaponised’: UN chief on Lebanon blasts
Israel ndio dunia yenyeweMataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura.
Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake.
Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita.
UN members demand end to 'unlawful' Israeli occupation of Palestinian territories
‘Civilian objects should not be weaponised’: UN chief on Lebanon blasts
Hivi ile kesi ya South Africa iliishia wapi, na zile warrant za kumkamata NETANYAHU vp?Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura.
Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake.
Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita.
UN members demand end to 'unlawful' Israeli occupation of Palestinian territories
‘Civilian objects should not be weaponised’: UN chief on Lebanon blasts
Sema kwa USA na si israel, israel humtegemea USA kwenda kinyume na jumuiya ya kimataifaUN ni unga tu kwa baadhi ya mataifa kama Israel, US, na hata Rassia
Vita ni vita msimpangie israel silaha ya kupigana na magaidiMataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura.
Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake.
Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita.
UN members demand end to 'unlawful' Israeli occupation of Palestinian territories
‘Civilian objects should not be weaponised’: UN chief on Lebanon blasts
Jamaa October 7 walijua Israel kaisha.. walipoona Israel kadhibiti wakatulia, Israel alipoanza kutoa kichapo wakaanza kelele wakajisahaulisha maumivu ya Israel na Watanzania raia wake wawili, Haouthi wakanaza fujo wametulia Hezbollah kaanza fujo wametulia,Iran,Iraq wametulia ila Israel akianza kujibu wanajifanya oh sio sawa blah blah.. Me nataka Israel apige hadi Nuclear Lebanon hakuna mateka kule.. imefika muda Israel kuwafurusha arab wote kwenye nchi za historia zilizokuwa hazina waarabu... kama Lebanon ya Phoenician,Syria ya Wa assriya,Jordan jews na Misri weusi coptic christian country warejee kwao... Shetani ashindwe.Vita ni vita msimpangie israel silaha ya kupigana na magaidi
UN resolutions sio binding, hata Israel akisema sitaki kuondoka hawana cha kumfanya. zaidi sana israel alishatishia kujiondoa Umoja wa kimataifa pia wakoleta za kulata, abaki na marafiki zake tu kwasababu hata hivyo umoja wa mataifa hauna meno. ungekuwa nayo ungeshafanya kitu. tangu vita vya gaza vianze, ni resolution kibao wametoa ila hazina meno.Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura.
Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake.
Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita.
UN members demand end to 'unlawful' Israeli occupation of Palestinian territories
‘Civilian objects should not be weaponised’: UN chief on Lebanon blasts
Unapozungumza hivyo usiwe na mtazamo wa upande mmoja.Ujue na hao wengine wana haki ya kupuuza mikataba na maazimioUN resolutions sio binding, hata Israel akisema sitaki kuondoka hawana cha kumfanya. zaidi sana israel alishatishia kujiondoa Umoja wa kimataifa pia wakoleta za kulata, abaki na marafiki zake tu kwasababu hata hivyo umoja wa mataifa hauna meno. ungekuwa nayo ungeshafanya kitu. tangu vita vya gaza vianze, ni resolution kibao wametoa ila hazina meno.
Akili yako inaangalia upande mmoja tu.Huoni kwamba majirani wa Israel watakuwa na nguvu ya kupuuza mikataba waliyofikiana nao.Nani atawazuia au kuwauliza.Jamaa October 7 walijua Israel kaisha.. walipoona Israel kadhibiti wakatulia, Israel alipoanza kutoa kichapo wakaanza kelele wakajisahaulisha maumivu ya Israel na Watanzania raia wake wawili, Haouthi wakanaza fujo wametulia Hezbollah kaanza fujo wametulia,Iran,Iraq wametulia ila Israel akianza kujibu wanajifanya oh sio sawa blah blah.. Me nataka Israel apige hadi Nuclear Lebanon hakuna mateka kule.. imefika muda Israel kuwafurusha arab wote kwenye nchi za historia zilizokuwa hazina waarabu... kama Lebanon ya Phoenician,Syria ya Wa assriya,Jordan jews na Misri weusi coptic christian country warejee kwao... Shetani ashindwe.
hao wengine wepi sasa wakati resolution imefanywa kwa ajili ya Israel na ndicho tunachoongelea hapa?Unapozungumza hivyo usiwe na mtazamo wa upande mmoja.Ujue na hao wengine wana haki ya kupuuza mikataba na maazimio
Tunazungumzia upana wa tatizo la Israel kwamba wanatamba kwa kupuuza maazimio na kuna watu wanawasifia kwa hilo.Ujue ina mikataba na Misri na Jordan vipi na wao wakiamua kupuuza mikataba na kuacha watu wao wavuke mipaka bila kizuizi.hao wengine wepi sasa wakati resolution imefanywa kwa ajili ya Israel na ndicho tunachoongelea hapa?