Wajumbe wa UN waitaka Israel ijiondoe maeneo ya Wapalestina katika kipindi cha mwaka mmoja

Tunazungumzia upana wa tatizo la Israel kwamba wanatamba kwa kupuuza maazimio na kuna watu wanawasifia kwa hilo.Ujue ina mikataba na Misri na Jordan vipi na wao wakiamua kupuuza mikataba na kuacha watu wao wavuke mipaka bila kizuizi.
ubavu huo hawana, wangekuwa nao wangeshavunja zamani sana. mkataba na misri umeingiwa zaidi na marekani, kila mwaka anawapa misri msaada mkubwa sana kwenye defence system kwa sharti kwamba asipigane na Israel. na hata akipigana, hatashinda. upande wa jordan, sasaivi wananchi 3,000,000 ni wahamiaji wa kipalestina, na hao ndio wamekuwa wakichafua nchi, walishajaribu hata kumuua PM wao kipindi cha nyuma. Jordan haiwapendi wapalestina mno na inawaogopa, ni bora awe na ushirika na israel na ulaya kuliko wapalestina. ni wachafua hali ya hewa sana hao jamaa.hata misri kawajengea fensi kama anakinga simba wasiingie nchini kwake, kajenga kuta mara mbili.
 
Tusubiri tuone jinsi azimio litakavyotekelezwa
 
Wewe unaona Israeli wanaweza kuamrishwa kibwege hivyo na ikawa?🤣🤣
 
Wewe unaona Israeli wanaweza kuamrishwa kibwege hivyo na ikawa?🤣🤣
Ndio maana dunia inateseka kutokana na unafiki.Wengine wafanye wanavyopenda na wengine wakifanya waambiwe wamevunja misingi ya utawala bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…