Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Kiranga unorthodox....Kwanza kabisa hakuna sehemu niliposema nataka mema tu.
Wewe ndiye huelewi somo.
Kama unabisha nioneshe sehemu yoyote niliposema nataka mema tu.
Weka hapa nukuu.
Twende kazi.
Unamjua Lilith?Nimeona hii picha FB ya huyu jamaa ambaye "simjui" ila amenifikirisha mengi ....
View attachment 3548342
Twende taratibu .....
Naomba nitoe hoja kwa njia ya maswali kama ifuatavyo?
1. Kama shetani ndio baba wa dhambi, dhambi alizotenda yeye za kuasi mbinguni zilitoka wapi??
2. Kama kila dhambi huwa tunapata ushawishi wa shetani, nani alimshawishi shetani kutenda dhambi ya uasi??
3. Shetani na "supporter" wake walitaka kutenda uasi wa mapinduzi, sasa hiyo akili ya uasi nani aliingiza kwenye fikra zao ikiwa wakati huo hakuna nyoka mtenda dhambi (influencer wa dhambi)?
4. Kwenye mafundisho ya Kipaimara niliambiwa "shetani kazi yake ni kukusanya/kushawishi watu atakaoenda nao motoni..""
Sasa ni nani alimshawishi shetani atende dhambi ili aende nae motoni?
Tafadhali naomba nisipate yale majibu ya kutishana.
Hebu nielezeeni ki-layman language na mimi nielewe..!!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ramadhan Kareem mkuu.
Unampangia namna ya kujielezea kwako?kwanini utumike wewe (kiumbe dhaifu) kumtetea Mungu (mwenye uwezo wote/mkamilifu) kuwa hayo sio makosa badala ya Mungu ajitetee mwenyewe?
Hujaelewa hoja. Hujaelewa hoja.Hawataki uwajibikaji.
Wataangalia kila mahali kutafuta makosa, watatafuta kila wa kumpa lawama, hawatojiangalia wenyewe kamwe!
Utoto, Upumbavu pro max.
Eti kwanini free will I affect mtu mwingine! Mtu huyo huyo anasema Mungu hana upendo! Huo Upendo unajua maana yake nini? Kama unajua Upendo ni nini huwezi kuuliza kwanini Free Will ina affect watu wengine!
Mambo mpenziUnampangia namna ya kujielezea kwako?
WHO ARE YOU?
Wewe rais umeongea naye mara ngapi maishani mwako kwakuwa uliamka tu asubuhi ukataka kuongea naye?(assuming hufanyi kazi karibu naye)
Tunaongelea MFALME WA WAFALME.
MTAKATIFU MTAKATIFU MTAKATIFU.
Have some respect.
Ndo hivyo katuma vijakazi wake na kaandika kitabu chake (Biblia) usome.
Umenikumbusha Adele aliwahi kunyanyuka na kutoka kwenye interview kwasababu alimuuliza mtangazaji aliyemuita "umeionaje album yangu mpya?" Mtangazaji akasema hajaisikiliza. Adele alinyanyuka akatoka. Baadae mtangazaji ilibidi aombe radhi hadharani.
Siku mtakayoacha kumdharau Muumba wa kila kitu unachokiona, na kumuona ni wa kawaiiiida, ndo siku mtakayoanza kumuona.
Kwa sasa mtaishia kuona jumba lake (universe) na ma houseboy wake na ma housegirl wake, mwenyewe hamtomuona, until it's too late for you.
Maana yake hakuna dhambi, dhambi ni mfumo wa Mwanadamu aliouumba ili tu binadamu waweze kuishi kwenye dunia iliyo salama, we mfano tu unaambiwa kuiba dhambi lakini hio ni kwa mujibu wa Mwanadamu sio wa MunguHapana Mungu hakuwahi kuumba dhambi
Kwani wewe ndio Mungu mwenyewe?Unampangia namna ya kujielezea kwako?
Mungu hayupo, kwa hiyo dhambi kwa muktadha wa kumkosea Mungu haipo.Maana yake hakuna dhambi, dhambi ni mfumo wa Mwanadamu aliouumba ili tu binadamu waweze kuishi kwenye dunia iliyo salama, we mfano tu unaambiwa kuiba dhambi lakini hio ni kwa mujibu wa Mwanadamu sio wa Mungu
Kiranga atanipa backups
BWANA amesema mbwa hawapewi.Hujaelewa hoja. Hujaelewa hoja.
Kuonesha logical contradiction, kwamba mnasema Mungu wenu kasema hapa itakuwa nyeupe, halafu tunaona si nyeupe, ni nyeusi, si kutaka nyeupe.
Ni kuonesha contradiction katika story yenu ya Mungu kuwapo.
Kuelezea mapungufu ya kimantiki kagika story yenu si mimi kuonesha napenda kitu. Ni kuonesha mapungufu tu.
Sasa kwa nini mtu akionesha contradiction hivyo mnasema anataka nyeupe, hapendi nyeusi?
Unaweza kunipa nukuu hata moja tu nilipoandika nataka mema tu?
Au wewe ndiye huelewi somo?
Unaelewa kuwa wewe hujui kusoma kwa ufahamu?
Unaonaje?Kwani wewe ndio Mungu mwenyewe?
Nakubali sana post zako zimetulia.BWANA amesema mbwa hawapewi.
"Msiwape mbwa vitu vitakatifu wasije wakageuka na kuwararua nyinyi; wala msiwatupie nguruwe lulu zenu wasije wakazikanyaga."
Mathayo.7.6.BHN
Kajibu swali ulilokimbia huko:
Post in thread 'Kipindi siamini MUNGU, sikuwa na muda na imani za watu' Kipindi siamini MUNGU, sikuwa na muda na imani za watu
Kwanza weka link niliposema nataka mema tu.BWANA amesema mbwa hawapewi.
"Msiwape mbwa vitu vitakatifu wasije wakageuka na kuwararua nyinyi; wala msiwatupie nguruwe lulu zenu wasije wakazikanyaga."
Mathayo.7.6.BHN
Kajibu swali ulilokimbia huko:
Post in thread 'Kipindi siamini MUNGU, sikuwa na muda na imani za watu' Kipindi siamini MUNGU, sikuwa na muda na imani za watu
Usinichoshe mimi Kamuulize aliye quote maneno yakoKwanza weka link niliposema nataka mema tu.
Nikuoneshe usivyojua kusoma.
Sasa hapo mkuu turudi nyuma kabla ya hivyo vyote yaan ondoa hizo sheria ambazo zimetungwa tungwa tu na Mwanadamu ambapo unaoona kabisa sheria zingine ni kandamizi ila tu sababu zipo ndani ya mfumo basi binadamu wanafuata ingawa zinawakandamiza sana, turudi nyuma kabla ya kutungwa kwa hizo sheria Mwanadamu aliishi vipi?Mungu hayupo, kwa hiyo dhambi kwa muktadha wa kumkosea Mungu haipo.
Lakini kuna mabaya, kwa maana ya kwamba mabaya yanaweza kuwa ni kumkosea mtu.
Ukimuua mtu, umefanya jambo baya, umemnyima mtu haki ya kuishi. Kuna sheria za nchi zinakataza hilo, kuna Universal Declaration of Human Rights inakataza hili.
Kwa hiyo hata bila kuwapo Mungu, hata bila ya kuwapo dhambi kwa muktadha wa Mungu, sisi wenyewe kama watu tunaotaka kuishi katika dunia yenye amani tunaweza kukataa mtu kuuawa hivyo.
Sijui ndio maana nakuuliza kwasababu statement yako iko vagueUnaonaje?
Onesha niliposema nataka mema tu, acha longolongo.Usinichoshe mimi Kamuulize aliye quote maneno yako
BWANA amesema mbwa hawapewi.
"Msiwape mbwa vitu vitakatifu wasije wakageuka na kuwararua nyinyi; wala msiwatupie nguruwe lulu zenu wasije wakazikanyaga."
Mathayo.7.6.BHN
Kajibu swali ulilokimbia huko:
Post in thread 'Kipindi siamini MUNGU, sikuwa na muda na imani za watu' Kipindi siamini MUNGU, sikuwa na muda na imani za watu
Kwanza kabisa, sheria ni nini?Sasa hapo mkuu turudi nyuma kabla ya hivyo vyote yaan ondoa hizo sheria ambazo zimetungwa tungwa tu na Mwanadamu ambapo unaoona kabisa sheria zingine ni kandamizi ila tu sababu zipo ndani ya mfumo basi binadamu wanafuata ingawa zinawakandamiza sana, turudi nyuma kabla ya kutungwa kwa hizo sheria Mwanadamu aliishi vipi?
Kajibu swali ulilokimbia hukoOnesha niliposema nataka mema tu, acha longolongo.