Wajuvi njooni mnijuze, "Mungu aliumba dhambi lini?"

Hapa tutavurugana mkuu naona nikikuleta upande huu utapagawa, ngoja tuendelee tu na mada mezani
 
Hapa tutavurugana mkuu naona nikikuleta upande huu utapagawa, ngoja tuendelee tu na mada mezani
Hapana, labda wewe ndiye utapagawa.

Kwanza umeelewa na kukubali hoja yangu?

Acha kukimbia mjadala wa hoja kwa kisingizio kwamba tutavurugana.

Weka hoja mezani tuzijadili.
 
Hapana, labda wewe ndiye utapagawa.

Kwanza umeelewa na kukubali hoja yangu?

Acha kukimbia mjadala wa hoja kwa kisingizio kwamba tutavurugana.

Weka hoja mezani tuzijadili.
Yaan nikikurudisha pale juu utakimbia mkuu, emu tuache hii turudi kwenye mada
 
Yaan nikikurudisha pale juu utakimbia mkuu, emu tuache hii turudi kwenye mada
Juu wapi? Nitakimbia kwa nini? Hebu nijaribu basi tuone kama nitakimbia kweli au ni wewe unajipa umuhimu usio nao tu.

Nirudishe basi tuone.

Ukishindwa umekimbia wewe hapo.
 
Mtu yeyote anayedai kuwa atheist ni mtu ambaye anaamua kuishi kwenye edge ya science bila kwenda deeper

👇


Atheism ni pure delusion
 
Mtu yeyote anayedai kuwa atheist ni mtu ambaye anaamua kuishi kwenye edge ya science bila kwenda deeper

👇


Atheism ni pure delusion

Twende polepole.

Atheism ni nini kwanza, by definition.

Science ni nini?

Na kuwa atheist kunakuwaje kuishi kwenye edge of science?
 
Habari za Mungu na Shetani hazina tofauti na habari za Tom and Jerry.

Zote ni habari za vichekesho tu za changamsha genge.

Tom anapenda sana kucheza na jamaa yake Jerry. Wanafanya hadi battle.

Mungu na yeye anapenda kufanya battle na jamaa yake Shetani.

Ukisoma stori ya Ayubu. Utaona kabisa Mungu na Shetani Walifanya mazungumzo ya pamoja ya namna gani watamtesa Ayubu.

Kisha watafute mshindi kati yao.

Sasa Mungu wa namna hii hana tofauti na Tom anaye penda kushindana na jamaa yake Jerry.

Story za Mungu na Shetani ni hekaya za kutungwa tu.
 
Twende polepole.

Atheism ni nini kwanza, by definition.

Science ni nini?

Na kuwa atheist kunakuwaje kuishi kwenye edge of science?
Mijadala hii,nishaiona zaidi ya maelfu kwenye Reddit, twitter

Ata niandike maneno maelfu kwa maelfu hakuna atakaye muelewa mwenzake.

Utadai logic and fact

Nitadai chanzo cha ulimwengu

INATOSHA
 
Juu wapi? Nitakimbia kwa nini? Hebu nijaribu basi tuone kama nitakimbia kweli au ni wewe unajipa umuhimu usio nao tu.

Nirudishe basi tuone.

Ukishindwa umekimbia wewe hapo.
Nikikurudisha pale juu mkuu utakimbia ndio maana sitaki nikupitishe barabara hii maana najua huku utayumba hupawezi, ulivyoelezea pale juu nikikubananisha huchomoki
 
Mijadala hii,nishaiona zaidi ya maelfu kwenye Reddit, twitter

Ata niandike maneno maelfu kwa maelfu hakuna atakaye muelewa mwenzake.

Utadai logic and fact

Nitadai chanzo cha ulimwengu

INATOSHA
Kwa hiyo umeshindwa kutetea hoja yako kwa logic na fact?

Unaaandika nini hapa? Mazingaombwe na uchawi usiohitaji logic wala fact?

Na hicho chanzo cha ulimwengu utakidai bila kutumia logic na kutaka fact?

Unaelewa kuwa suala la chanzo cha ulimwengu halina uhusiano wowote wa moja kwa moja na atheism?
 
Nikikurudisha pale juu mkuu utakimbia ndio maana sitaki nikupitishe barabara hii maana najua huku utayumba hupawezi, ulivyoelezea pale juu nikikubananisha huchomoki
Nirudishe basi nikimbie.

Ukishindwa umekimbia wewe.

Mtu mzima hatishiwi nyau, acha ujinga.
 
Siku njema mkuu.
 
Dhambi ni matokeo sio asili.. Sio kitu kinachoweza kusimama pekeyake! Na kinachoitwa dhambi ni dhana dhanifu inayotofautiana kutoka imani moja hadi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…