Mkuu,Napenda style yako ya kuamisha comment kuwa swali inavutia sana hapa ndipo watu wengi huchanyikiwa ukiwaga kwenye hii midahalo.
Kiufupi mkuu sijui lolote kuhusu maswala ya IQ niliona thread hapa JF ikidao watu hawa na hawa ni IQ fulani nikajiona nipo sehemu fulani.
Unaweza nisaidia njia ya kutambua zaidi maswala ya IQ na upimaji wake???
Ila mnachekesha sana 😁😁Mungu anajua kila kitu, kwahyo kipindi anamuumba shetani alijua kabisa baadae shetani atakuja kuwaje, lakini akamuumba hivo hivo tu Kwa maana pia ndio lilikuwa lengo lake na wala si bahati mbaya.
Let that sink in
OK sawa.. Sasa hebu tujaribu kwanza kupata tafsiri sahihi ya dhambi na je Kama niWala usijali, hiyo sio accusations mimi ndio nimehoji hivyo.
Hoja yangu ilijikita zaidi katika zile sifa kuu za Mungu yani ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote.
Kwenye swali linalo hoji kwanini dhambi ipo. Halafu wewe ukjibu kuwa dhambi ni matokeo sio asili tafsiri yake ni kwamba uwezo wa Mungu upo limited kwenye yale yote ambayo ni matokeo.
Swali langu ni kwanini dhambi ipo?
Nadhani ni vyema tukafika huko baada ya kupata jibu la kwanini dhambi ipo.OK sawa.. Sasa hebu tujaribu kwanza kupata tafsiri sahihi ya dhambi na je Kama ni
Dhana dhanifu?
Ni yabisi?
Ni kimiminika?
Je dhambi ninini?
Hii sasa ni kwenda kinyumembeleNadhani ni vyema tukafika huko baada ya kupata jibu la kwanini dhambi ipo.
MUNGU anajua yaliyopita ya sasa na yajayo Kama anauwezo wa kujua kwamba akikuumba ipo siku utakuja kumuhasi kwanini akuumbe namana katika yeye vyote anaweza akitaka uokoke Anaweza akitaka uwe mpotofu anaweza kwanini sasa asitake ww uwe mwokovu1) Dhambi ni kwenda kinyume na MUNGU.
"Kila mtu atendaye dhambi anavunja sheria ya Mungu, maana dhambi ni uvunjaji wa sheria."
1Yohana.3.4.BHN
2) Aliweza kwenda kinyume / kutenda dhambi kwasababu ana FREE WILL.
3) MUNGU anataka wale tu ambao na wao wanamtaka kwa hiari, hataki marobot.
4) Kabla hata ya kuanza kuumba, MUNGU alijua kuna viumbe wangeenda kinyume kwa hiari.
Kama mwenye Enzi Kuu, maamuzi yake ya mwisho ni kuwaondoa, they'll go back to nothing .
Kama una nyumba yako watu hawataki kufuata sheria zao si wakatafute pa kuishi! ! !
5) Yooote yanayotokea duniani ni kwa ajili ya wateule: tuko kwenye process ya kujifunza mema na mabaya. Tuko kwenye process ya kuonyesha Allegiance / Ushkamanifu wetu MUNGU wetu na sheria zake kwa hiari.
We LOVE our GOD and his laws.
Muovu akiona mtu anauawa anasema MUNGU mbaya kaacha auawe.
Wateule wakiona mtu anauawa wanasema MUNGU ni mwema, kwasababu amekataza kuua.
Mfano mmoja tu.
"Kabla ya kuumbwa ulimwengu, Mungu alituteua tuwe wake katika kuungana na Kristo ili tuwe watakatifu na bila hitilafu mbele yake. Kwa sababu ya upendo wake,
Mungu alikuwa ameazimia tangu zamani kutuleta kwake kama watoto wake kwa njia ya Yesu Kristo. Ndivyo alivyopenda na kunuia."
Waefeso.1.4-5.BHN
Namimi nililigundua hilo mapema ndio maana nikataka tumalizane na hoja iliyotangulia kwanza.Hii sasa ni kwenda kinyumembele
Ila mnachekesha sana 😁😁
Kwahiyo kama alikuwa anajua kwamba akimuumba shetani halafu shetani atakuja kumkana Kwanini amlaumu shetani kumsaliti Sasa !? Hauoni kuwa anamuonea !?
Mkuu wewe unaweza kuoa mke ambaye unajua kuwa atakusaliti !? Halafu baada ya mke huyo kukusaliti baada ya wewe kumuoa uanze kumlaumu !?
Tukisema kwamba huyo mungu wenu kachanganyikiwa tutakuwa tunakosea !?
Kwanza mungu mjuzi wa yote kama alikuwa anajua kwamba aki muumba shatani atakuja kumsaliti kwanini asingetumia huo uweza wake wa yote kumuumba shetani ambaye hatoweza kumsaliti!?
I was speaking sarcasticallyIla mnachekesha sana 😁😁
Kwahiyo kama alikuwa anajua kwamba akimuumba shetani halafu shetani atakuja kumkana Kwanini amlaumu shetani kumsaliti Sasa !? Hauoni kuwa anamuonea !?
Mkuu wewe unaweza kuoa mke ambaye unajua kuwa atakusaliti !? Halafu baada ya mke huyo kukusaliti baada ya wewe kumuoa uanze kumlaumu !?
Tukisema kwamba huyo mungu wenu kachanganyikiwa tutakuwa tunakosea !?
Kwanza mungu mjuzi wa yote kama alikuwa anajua kwamba aki muumba shatani atakuja kumsaliti kwanini asingetumia huo uweza wake wa yote kumuumba shetani ambaye hatoweza kumsaliti!?
Kiranga jibu hapa acha kurukaruka ulisema hautokimbia naona unatafuta visababu 😆😆Tuanzie pale kwenye Universal Declaration hio ni imetungwa hapo tu baada ya Vita ya pili ya dunia mimi nakupeleka AD huko mpaka BC, uniambie Mwanadamu alikua anaishi vipi km sio kufuata sheria sasa turudi nyuma twende mpaka stone Age na Iron Age, tuangalie Mwanadamu alikua anaishije? Unanielewa tupo pamoja hapo halafu tuje tuseme hii ni dhambi na hii sio dhambi, achana na civilizations za Mwanadamu za miaka hii mimi nazungumzia source chanzo cha Mwanadamu sio mabaki ya Mwanadamu, tunaelewana vizuri sijui hapo? Nimekwambia usikimbie sasa toa ufafanuzi vizuri hapo achana na kipindi hiki rudi Kale kwenye source ya Mwanadamu uangalie kwanini nikasema kwamba dhambi hakuna hata hayo unayoyasema ni makosa hakuna ila tu kadri binadamu wanavyostaarabika basi wanaunda mfumo fulani wa kiistarabu unaoonyesha kwamba hiki ni sawa na hiki sio sawa kutokana na matokeo ya Kale kuna mambo yalitokea Kale ambayo yamemfundisha Mwanadamu ambae anamtawala mwenzie kwa kumuumiza, mfano Atomic bomb na Hydrogen bomb hayo ni mabomu hatari zaidi duniani ambayo sio afya kwa uhai wa Mwanadamu kwanini kwa sababu lilishagatokea tukio huko Japan visiwa vya Nagasaki na Heroshima vilipigwa na Marekani ukiondoa hilo pia kuna issue ya Chernobyl disaster nuclear power disaster USSR baada ya hapo watu wakapata funzo kwamba hiki kitu sio afya kwa uhai wa Mwanadamu, ushaelewa sio dhambi ila kinadhulumu uhai wa Mwanadamu na wanadamu wanataka kuishi kwa amani na upendo kwenye dunia wafanyeje? Ndio wanaunda vijikanuni na taratibu kwamba hiki ukifanya upo sahihi na hiki ukifanya kwa afya ya uhai wa Mwanadamu unakua haupo sahihi ingawa sio kosa wala sio dhambi ila unadhulumu uhai wa Mwanadamu mwengine kwa taratibu za kibinadamu zilizowekwa na Mwanadamu unaoonekana haupo sahihi, unanielewa vizuri? Nataka usikimbie
Okay sawaNamimi nililigundua hilo mapema ndio maana nikataka tumalizane na hoja iliyotangulia kwanza.
haujajibu hoja yake bali ume attacheNijibu mara ngapi?
Hujaona nilipojibu?
Hoja yake ni ipi na mimi sijaijibu kwa nini, umeona nilipomnukuu?haujajibu hoja yake bali ume attache
Nimeona hii picha FB ya huyu jamaa ambaye "simjui" ila amenifikirisha mengi ....
View attachment 3548342
Twende taratibu .....
Naomba nitoe hoja kwa njia ya maswali kama ifuatavyo?
1. Kama shetani ndio baba wa dhambi, dhambi alizotenda yeye za kuasi mbinguni zilitoka wapi??
2. Kama kila dhambi huwa tunapata ushawishi wa shetani, nani alimshawishi shetani kutenda dhambi ya uasi??
3. Shetani na "supporter" wake walitaka kutenda uasi wa mapinduzi, sasa hiyo akili ya uasi nani aliingiza kwenye fikra zao ikiwa wakati huo hakuna nyoka mtenda dhambi (influencer wa dhambi)?
4. Kwenye mafundisho ya Kipaimara niliambiwa "shetani kazi yake ni kukusanya/kushawishi watu atakaoenda nao motoni..""
Sasa ni nani alimshawishi shetani atende dhambi ili aende nae motoni?
Tafadhali naomba nisipate yale majibu ya kutishana.
Hebu nielezeeni ki-layman language na mimi nielewe..!!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Heri,Nimeona hii picha FB ya huyu jamaa ambaye "simjui" ila amenifikirisha mengi ....
View attachment 3548342
Twende taratibu .....
Naomba nitoe hoja kwa njia ya maswali kama ifuatavyo?
1. Kama shetani ndio baba wa dhambi, dhambi alizotenda yeye za kuasi mbinguni zilitoka wapi??
2. Kama kila dhambi huwa tunapata ushawishi wa shetani, nani alimshawishi shetani kutenda dhambi ya uasi??
3. Shetani na "supporter" wake walitaka kutenda uasi wa mapinduzi, sasa hiyo akili ya uasi nani aliingiza kwenye fikra zao ikiwa wakati huo hakuna nyoka mtenda dhambi (influencer wa dhambi)?
4. Kwenye mafundisho ya Kipaimara niliambiwa "shetani kazi yake ni kukusanya/kushawishi watu atakaoenda nao motoni..""
Sasa ni nani alimshawishi shetani atende dhambi ili aende nae motoni?
Tafadhali naomba nisipate yale majibu ya kutishana.
Hebu nielezeeni ki-layman language na mimi nielewe..!!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu.Mkuu,
Nimejisikia vibaya kukuzodoa bila kujibu swali lako. Pengine unahitaji uelewa kikweli.
Habari za kupima IQ kwa watu waliosoma, miaka hii, ni suala controversial.
Wasomi wengi wa masuala ya saikolojia na sosholojia wanaona habari za kupima IQ kuwa ni subjective, zinayapa umuhimu mambo fulani ambayo yameegemea kwenye utamaduni fulani zaidi.
Ukisoma kitabu cha Jared Diamond kilichoshinda nishani ya Pulitzer "Guns, Germs and Steel : The Fates of Human Societies" kaelezea hili jambo kirefu.
Mkuu,Mkuu.
Pole sana kwa kufanya ujisikie vibaya
Hicho kitabu sijawahi kisoma lakini nakitambua nilipo kuwa chuo kuna prof alowahi kuelezea
Lakini nimeenda kudaka PDF nimesoma table of contents sijaona swala la upimaji wa IQ mule
Kitabu hiki kinajaribu kujibu swali
Kwa nini baadhi ya jamii hasa Ulaya zilikuja kutawala sehemu kubwa ya dunia
Linahusiana nini na haya yote
Hujatoa jibu mkuuNijibu mara ngapi?
Hujaona nilipojibu?
Wewe ndiye hujatoa jibu kwa swali langu la sijatoa jibu wapi, vipi.Hujatoa jibu mkuu