Kwahiyo Mei mosi wafanyakazi Huwa wanashangilia ongezeko la 15k Mwaka mzima?TGS D = 15,000/=
Nilikuwa nazungumzia annual increment ambayo umeieleza vizuri, nashukuru mkuu..Increment ni nyongeza ndogo sana ya kila mwaka kisheria (ndio maana inaitwa annual increment), japo Magufuli na dada yake walikuja kuifanya nayo kuwa hisani ya kisiasa. Annual increment haitolewi kwa wale wanaopanda madaraja na promotion nyingenezo kama recategorization nk katika mwaka husika.
Ni nyongeza ndogo sana inayoishia kwenye makato ya ATM tu.
Mfano kwa wale wanaopokea kwa TGS mwongozo niliouona mwaka juzi (naamini haujabadilishwa) increments zao zinachezea humu:
TGS A = 7,000/=
TGS B = 10,000/=
TGS C = 13,000/=
TGS D = 15,000/=
TGS E = 17,000/=
Kama nimechanganya mafaili ni kidogo sana, ila kwa makundi hayo niliyoyataja hayavuki kati ya 7k na 20k.
Kama unazungumzia hii nyongeza inayofanyika sasa (35.1%kwa kima cha chini, hiyo si annual increment.
Ndio. Watumishi wengi huwa hawajui, wakisikia tu nyongeza wanashangilia bila kujua ni aina gani ya nyongeza.Kahiyo Mei mosi wafanyakazi Huwa wanashangilia ongezeko la 15k Mwaka mzima?
Kwasasa ndivyo ilivyo, kama ulivyo eleza hapo, utaipata kulingana na mwezi ulio ajiriwa.Nilikuwa nazungumzia annual increment ambayo umeieleza vizuri, nashukuru mkuu..
Nisaidie tena hivi ni kweli siku hizi inalipwa kulingana na tarehe na mwezi wako wa ajira!?? Mf.kama umeajiriwa 02 July na increment yako ni mwezi July!, Tofauti na zamani ambapo ilikuwa inawekwa kwa watumishi wote bila kujali tarehe na mwezi wa kuajiriwa?
Asante mtaalamu,,,,kwahyo aliyeajiajiriwa example mwezi huu July,atakutana na increment yake na ongezeko la Samia!? Hili ndo swali la mwisho usichoke.Kwasasa ndivyo ilivyo, kama ulivyo eleza hapo, utaipata kulingana na mwezi ulio ajiriwa.
Ok! Nashukuru mkuu sasa naelewa vzr! Ila utumishi wa bongo kazi mkuu basi tu.La kuongezea hapo Kwa muuliza swali,endapo serikali ikitangaza kuongezea mishahara kama mwaka huu,fahamu yakwamba hakuna increments.
Hii ni ngumu kujibu, na siwezi kukuhakikishia hilo.Asante mtaalamu,,,,kwahyo aliyeajiajiriwa example mwezi huu July,atakutana na increment yake na ongezeko la Samia!? Hili ndo swali la mwisho usichoke.