inawezekana labda๐๐๐Hapana mpwa, mleta Uzi atakuwa alikuwa anamchungulia huyo jamaa wa boxer
Sasa utaisikia wapi wakati your only one king ni msafi hanuki ๐hapana,, nilikuita ili uje uniambie inafananaje hiyo harufu ya boxer chafu mana sijawahi isikia๐๐
Boxer Huwa ni 8 tu Kila siku Moja ndani ya hizo siku Saba sikosi Moja ya kufua zilizo chafu.Basi utakuwa ulibeba dozens kumi
Ndio jibu lenyewe ilo mpwa๐inawezekana labda๐๐๐
Hongera sana mkuuBoxer Huwa ni 8 tu Kila siku Moja ndani ya hizo siku Saba sikosi Moja ya kufua zilizo chafu.
aisee itabidi na mimi nipande usafiri public siku moja nikajionee๐๐Sasa utaisikia wapi wakati your only one king ni msafi hanuki ๐
Sema huyo aliyetoa mada ana lake binafsi!!au hazikauki vizuri ukifua๐๐๐๐
basi kama hivyo sawa๐๐Ndio jibu lenyewe ilo mpwa๐
Sasa utapanda na ile gari yako ๐aisee itabidi na mimi nipande usafiri public siku moja nikajionee๐๐
Ndio maana wanapendeleaga nyeusi au??Na nyie fuen hizo sidiria zenu kwa nini mnazivaa week nzima bila kufua.?๐ก๐ก
Njoo huku feri au popote tunapouza samaki na hio pua yako uropoke haya kutuue.Habari wakuu,
Nimewakumbuka sana,
Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.
Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.
Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.
Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma
Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...
Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.
Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.
Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.
Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.
Fueni boxer kaka zangu...
Habari wakuu,

Haya niambie, kwann ulikuwa unamchungulia? ๐[emoji23][emoji23][emoji23] umewaza mbali...
eti eeh๐ค, nimewaza hivyo pia au mkitanuaga miguu ndo harufu inapenya kwa nje๐๐๐Sema huyo aliyetoa mada ana lake binafsi!!
Dah..hapa nimecheka sana...Wewe mdada! Hiyo harufu ya boxer umeisikia wakati wa jamaa wanavua ili waku-kwichikwichi na sio eti ulikuwa kwenye usafiri!