Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Sio kwenye mkia wa mbele uliozoea kuchapwachapwa nao?Mstari wa nyuma ya makalio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwenye mkia wa mbele uliozoea kuchapwachapwa nao?Mstari wa nyuma ya makalio
Elninyo ya mchongo elninyo ya kweli inanyesha huko Palestina na Israel, huku kwengine zuga tu, watu wanaoga mvua za Moto huko Patestina ndio maana joto limekua kali sanasi umesikia elninyo inakuja kila mtu ataoga tu apende asipende.Haijalishi jinsia..
Kumbe unamuogesha kabisa? Umenikumbusha mbali sana 🤦Wewe mbona nakujua mwanaume, naongea na wakaka...
Shemeji huyu huyu ninyemuogesha mwenyewe...
[emoji1787][emoji1787]
Haiwezekani...
Nakata rufaa..
HahahahaOSHA mbunye hiyo harufu ndo yatokea huko usimngizie mwamba
Nasoma maoni kwanzaUsiishie kucheka, wewe mwanaume nahitaji mchango wako ..
Wewe usisemeMstari wa nyuma ya makalio
Ulianza na tunaovaa nguo Nyeupe wakati ni wachafu,Tukakuchekea.Naufuatilia Tena mlango kwa mlango[emoji1787]
Joke
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari tajwa...
Kama ilivyo hali ya jua sasa ni likali sana, sio kwa wakazi wa Dar tu na maeneo mbalimbali...
Sasa nasema hivi unaanzaje kuacha kuoga na jua kama hili..
Naongea na nyie wakaka ambao hamtaki kuoga mnanawa nawa tu...
Mnajijua nyinyi ambao mnavaa nguo kwanza ndo mpige mswaki...
Ndio nyie ambao mnavaa nguo hasa suruali mnarudia wakati hamuogi...
Mnabisha nini wakati hamuogi mnanuka kwapa kama Nini...
Nasemaje muoge jua limekuwa kali sana, Tena muoge mtakate sio kujimwagia maji..
Mara sisi wakaka hatunuki, acheni kujipa sifa za kijinga joto ni Kali..
Kila sehemu zilizojificha zinamwaga maji, kama kwapa na kule...
Nimesema muoge mtakate sio kupiga paspoti..
Tunakumbushana tu...

Aisee......ndonga tena.o level niliyosoma kuna jamaa alikua msafi kweli kweli, anaoga asubuhi na jioni, siku zingine hadi na mchana..... siku moja nikamkuta ananyonya ndonga ya mwanaume mwenzake
haya, hadithi yetu inatufundisha nini?
Kuna wenzangu huwa nikipshana nao nawaza hivi mke wake analala nye vipi 🤣🤣Nimesema nani, wakati nasema na vijana wavivu kuoga...