Wakala wa Voda amedukua laini yangu na kuiba mamilioni

Si mnatunanga kila siku graduates ,tunaoza na degree zetu kitaa bila ajira wala mitaji ,mnatunanga na kutuita wavivu.
Sasa tutawanyoosha
Mtaji wa masikini si nguvu zake mwenyewe basi " MTAJI WA GRADUATE NI AKILI YAKE MWENYEWE "
TUWE KAMA LAGOS TU , ukijichnganya na kufirisi .
Hata huku kwenye udalali tunawabonda haswa
 
Hakuwa wakala WA Voda alikuwa Tapeli anaejifanya ni msajili laini za mtaani
 
Wanaiba sana kwa mtindo huo,wameibiwa wengi mno.
Hapo sasa Kama mzazi wako alikuomba 20k ukamjibu Kuna issue unaisikilizia...aisee 😟
 
Pini ya nbc iko tofauti na ya mpesa, aliipataje hiyo pin? Ama hiyo nbc app haina pini unaingia tu unahamisha hela?
Sio lazima kuna watu wanatumi pin moja kwa vitu kibao kuepuka kusahau sahau namba mf pin moja kwa mpesa,tigo,airtel bank mobile bank pin ni hiyo hiyo hasa wazee hawana mambo ya kuweka kila sehem pin yake
 
Wewe ni boya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…