Wakala wa Voda amedukua laini yangu na kuiba mamilioni

Wakala wa Voda amedukua laini yangu na kuiba mamilioni

Picha imeanza hivi alipita wakala hapa maskani akidai anaweza kuiwezesha laini na kua five G yani hata niwe kijijini mimi nitatamba tu.

Nikampa simu yangu ili aapdate mafaili kama alivyoniambia, alivyomaliza hakutaka nimpe hela akasema yeye anapewa kwa kamisheni.

Akaondoka mara tu nikapiga simu kwa rafiki yangu nashangaa anasema nimebadilisha namba nikamuliza kivipi wakati ni laini yangu ya siku zote?

Nikacheki salio nashangaa naambiwa namba ya siri ni wrong. Nikapiga simu makao makuu kuwambia wanasema laini yangu IMEHAKIWA et nini? Nikawatajia namba za laini yangu halisi wakasema imehamishwa laki 3.

Kupiga simu NBC kitengo cha sim banking wakasema kuna namba imehamishwa milion 5 na hiyo namba haipo hewani. Nilizimia hadi hospital. Kufanya hadith iwe fupi kesi ipo police nao wanadai nimetapeliwa kizembe so wanataka laki 5 ili nifungue kesi.

Sina hata shilingi Nimebaki kupagawa hii dunia sio sawa.
Ulifanya kosa kubwa sana kuwapa simu yako wezi wanaozurura mtaani wanaojiita mawakala wa mitandao, japo wapo wengine waaminifu, ukaacha kwenda ofisi za Voda zilizopo karibu nawe nchi nzima, pamoja na mawakala walioidhinishwa kisheria.
 
Hizo ni degree za it zilizoamua kutumia elimu yao kuoshi illegallyy
 
Nitatoa darasa jinsi ya kuiba pesa kupitia laini ya mtu yeyote pasipokuwa na password yake, Njia ni effective na inafanya kazi mpaka dakika hii but ni for education purpose only.
 
Nitatoa darasa jinsi ya kuiba pesa kupitia laini ya mtu yeyote pasipokuwa na password yake, Njia ni effective na inafanya kazi mpaka dakika hii but ni for education purpose only.
Naomba uni tag kiongozi ukiweka huo uzi
 
Nimeweka uzi tayar ila naona moderator amepita nao.
😂😂😂😂😂Sasa itakuaje kiongozi maana sikuona ubaya wa Uzi huo wakuweka bayana mbinu za kitapeli kwa lengo la kujifunza na kumakinika zaidi
 
Mkuu alikua anaupdate mafaili na alikua anadai simu yangu ilikua nzito sababu ilikua na high load
Kuna vitu huwa nikivisikia namkumbuka sana Lowasa kwenye vipaumbele vyake 3 vya Elimu,Elimu na Elimu...pole sana...
 
Back
Top Bottom