Wakala wa Voda amedukua laini yangu na kuiba mamilioni

Maximum amount ya kuhamisha kwa hizi online banking apps ni 3m, yeye amehamishaje 5m? Pia pin ya hiyo nbc ameitoa wapi ili aweze kuhamisha hela?
LABDA AMOUNT NDO ISSUE LAKINI WAKI HACK MAANA YAKE WEWE UNAKUWA OFFLINE KWA HIYO NAMBA THEN KAMA UNA TUMIA SIM BAKING HIYO NAMBA WATAOMBA KUBADILI PASSWORD YA SIMU NA BAADAYE YA ACCOUNT YA BANK THEN WANAHAMISHA PESA
 
Picha imeanza hivi alipita wakala hapa maskani akidai anaweza kuiwezesha laini na kua five G yani hata niwe kijijini mimi nitatamba tu.

Nikampa simu yangu ili aapdate mafaili kama alivyoniambia, alivyomaliza hakutaka nimpe hela akasema yeye anapewa kwa kamisheni.

Akaondoka mara tu nikapiga simu kwa rafiki yangu nashangaa anasema nimebadilisha namba nikamuliza kivipi wakati ni laini yangu ya siku zote?

Nikacheki salio nashangaa naambiwa namba ya siri ni wrong. Nikapiga simu makao makuu kuwambia wanasema laini yangu IMEHAKIWA et nini? Nikawatajia namba za laini yangu halisi wakasema imehamishwa laki 3.

Kupiga simu NBC kitengo cha sim banking wakasema kuna namba imehamishwa milion 5 na hiyo namba haipo hewani. Nilizimia hadi hospital. Kufanya hadith iwe fupi kesi ipo police nao wanadai nimetapeliwa kizembe so wanataka laki 5 ili nifungue kesi.

Sina hata shilingi Nimebaki kupagawa hii dunia sio sawa.
Hadithi za kuambiwa unazileta hapa
 
Huyu bwana uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sanaa.. Una 'copy na paste' kwenye jukwaa hili! Acha Upuuzi
 
Si mnatunanga kila siku graduates ,tunaoza na degree zetu kitaa bila ajira wala mitaji ,mnatunanga na kutuita wavivu.
Sasa tutawanyoosha
Mtaji wa masikini si nguvu zake mwenyewe basi " MTAJI WA GRADUATE NI AKILI YAKE MWENYEWE "
TUWE KAMA LAGOS TU , ukijichnganya na kufirisi .
Hata huku kwenye udalali tunawabonda haswa

Acha tamaa bosi, siku hizi watu ukiwafanyia ujinga kama huo hawamuachii Mungu wanaishi nawewe unapotea. Utaacha mume/mke na watoto wanahangaika. Nimeona mtu namfahamu tangu anapitia maswahibu yaliyomfanya kuanza kuwa tapeli mdgo mdogo wa 'Tuma kwenye namba hii' hadi anakua tapeli mkubwa anakula bata za kutosha mjini mixer kununua ndinga mpaka anakuja anapotea watu wanakuja kuokota mwili wake na wa rafiki yake wakiwa wameuawa na gari lao pembeni wala halijaguswa (matukio yote haya ni ndani ya mwaka mmoja)
 
Kuna jamaa pale Goba Simba oil alifanyiwa same same! Kuja kushtuka crdb na lines zote hazina hata mia, alishtuka baada ya watu kumuuliza mbona hapatikani hewani mda mrefu!
 
Watu kama wewe hawataisha ila pia nashauri sasa kulingana na zoezi la usajili wa line kukamilika haya makampuni yapunguze mawakala wa ajabu ajabu.
 
Kuna haja ya polic kuwaambia makampuni yote ya cm kuwatoa watu wanaosajili line , kusiwe na wakala hata mmoja anesajili line mtaani
 
Picha imeanza hivi alipita wakala hapa maskani akidai anaweza kuiwezesha laini na kua five G yani hata niwe kijijini mimi nitatamba tu.

Nikampa simu yangu ili aapdate mafaili kama alivyoniambia, alivyomaliza hakutaka nimpe hela akasema yeye anapewa kwa kamisheni.

Akaondoka mara tu nikapiga simu kwa rafiki yangu nashangaa anasema nimebadilisha namba nikamuliza kivipi wakati ni laini yangu ya siku zote?

Nikacheki salio nashangaa naambiwa namba ya siri ni wrong. Nikapiga simu makao makuu kuwambia wanasema laini yangu IMEHAKIWA et nini? Nikawatajia namba za laini yangu halisi wakasema imehamishwa laki 3.

Kupiga simu NBC kitengo cha sim banking wakasema kuna namba imehamishwa milion 5 na hiyo namba haipo hewani. Nilizimia hadi hospital. Kufanya hadith iwe fupi kesi ipo police nao wanadai nimetapeliwa kizembe so wanataka laki 5 ili nifungue kesi.

Sina hata shilingi Nimebaki kupagawa hii dunia sio sawa.
Upigaji tena pole sana
 
Mbona kama ni zile voice notes tatu za yule mdada ndo umezibadilisha kuwa maandishi? Unakuwaje online halafu huna updates zozote aisee
 
Pini ya nbc iko tofauti na ya mpesa, aliipataje hiyo pin? Ama hiyo nbc app haina pini unaingia tu unahamisha hela?
Ujue hata mimi nilijiuliza maswali kadhaa likiwemo hili lakini mara nyingine nikaishia tu kusema labda kweli maana hakuna kinashindikana chini ya jua
 
Back
Top Bottom