Wakala wa Voda amedukua laini yangu na kuiba mamilioni

Kuna mtu Kkoo kapigwa hivi hivi juzi hapa,

Theoretically Polisi wanamkamata huyo bila shida, HATA kama kazima simu tayari ameacha alama, tafuta mtu wa cyber crime akusaidie.
 
LABDA AMOUNT NDO ISSUE LAKINI WAKI HACK MAANA YAKE WEWE UNAKUWA OFFLINE KWA HIYO NAMBA THEN KAMA UNA TUMIA SIM BAKING HIYO NAMBA WATAOMBA KUBADILI PASSWORD YA SIMU NA BAADAYE YA ACCOUNT YA BANK THEN WANAHAMISHA PESA
Siyo kweli mzazi,
Ili kubadili PIN ya mobile network ni lazima ukamate kadi uende kwenye mashine (ATM) kinyume na hapo labda mambo ya mahackers na mautundu yao
 
Ww mtk hii hadithi sio yako
 
Mimi nilijua jamii forums watu wote wana uelewa mkubwa
 
Siyo kweli mzazi,
Ili kubadili PIN ya mobile network ni lazima ukamate kadi uende kwenye mashine (ATM) kinyume na hapo labda mambo ya mahackers na mautundu yao
hapana,tulisha ibiwa hivyo,na MNB ni rahisi kuiba kulinganisha na crdb
 
we we ni mjinga,umepelekwa chekechea
 


CHAI
 
Dawa ya hawa wajinga ninkwamba usikubali kusajili line Kwa wakala nenda Kwny ofisi Judika,uamimifu umepotea.
 
Kuna mtu Kkoo kapigwa hivi hivi juzi hapa,

Theoretically Polisi wanamkamata huyo bila shida, HATA kama kazima simu tayari ameacha alama, tafuta mtu wa cyber crime akusaidie.
😄

Ova
 
Kwanza siku zote wanakwambia usimpe mtu simu yake wakala hapaswi kupewa simu.
By the way huo utapeli umekuwa wa kawaida sasa. Two weeks ago demu wangu naye katapeliwa hivyo hivyo anapiga simu analia namba ambayo ndo imetapeliwa hata huduma ya customer care ilikuwa haiendi. Jamaa ana roho mbaya alikomba pesa yote na bado akasongesha pia.
 
Kama mna geniuses hivyo kwanini msiwaajiri ili wawakamate hao wanaotapeli?
Eti hackers, what a joke 😃
Hao ni matapeli tu kama vibaka wengine
Hackers wako Nigeria labda kwa Africa
 
Halafu shule ulienda kufanya nini?
 
Kumbe ni wewe ukisambaza voice note ya tukio hilo Mashallah una sauti tamu sana wewe
 
POle ,hujasikia kuwa hawa watu wapo wapo naanza wanaiba sana hela zawatu ndio manaa napendaga kwenda kwenye ofisi za watu husika ili kuepuka huu ujinga pole .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…