Wakalenjini na Wakikuyu wataendelea kutawala Kenya miaka mingine 20

Huyo mjinga anafikiri Urais wa Kenya unatolewa kwenye sahani. Alivyo mpuuzi anakwambia sijui Vatican inamtaka Raila hahahaha.
 
Japo simkubali Odinga lakini ni bora kuliko Ruto. Odinga katulia pia ni matured na civilized hawezi lipiza visasi.
Mimi kura yangu ningempa Wajakoa
 
Huyo mjinga anafikiri Urais wa Kenya unatolewa kwenye sahani. Alivyo mpuuzi anakwambia sijui Vatican inamtaka Raila hahahaha.
Sio mbali ujui system za dunia.
Mwenzio Putin anahaaha alidhani anapigana na Ukraine.Tulia
 
Sio mbali ujui system za dunia.
Mwenzio Putin anahaaha alidhani anapigana na Ukraine.Tulia
System za dunia ya chumbani kwenu? Huzijui Siasa za Kenya wewe hizo porojo zenu za vatican sijui western ni utoto uliotopea.

Kenya hakuna siasa za kanisa kama TZ na wakenya consciousness yao huwezi ilinganisha na kizazi cha ujamaa cha Nyerere.

Kenya namba za ushindi zinabebwa na ukabila nukta.
 
Case study closed

What is a case study?

Case study is a research methodology, typically seen in social and life sciences. There is no one definition of case study research.1 However, very simply… ‘a case study can be defined as an intensive study about a person, a group of people or a unit, which is aimed to generalize over several units’. A case study has also been described as an intensive, systematic investigation of a single individual, group, community or some other unit in which the researcher examines in-depth data relating to several variables.
copy and paste
 
Tuwekeane Dau.
Usikimbie JF.
Kushinda na kutangazwa ni vitu viwili tofauti.
Lowasa alishinda lakini alitangazwa nani?
Odinga alishinda uchaguzi uliopita dhidi ya UHURU lakini alitangazwa nani?
Bi Hilary Clinton kashinda mara mbili lakini akapewa OBAMA then Kichaa Trump.

Anaweza Ruto akashinda kwa kura lakini sio kushinda uraisi.
Hayo mambo sijui ya siasa za wingi wa kabila ni ya nje sio ya ndani.
Jumamosi sio mbali. UHURU sio mjinga anajua siri.
 
Kumbe ndio maana wakuu hawakukubali hayawani aendelee kuitawala tanzania........
 
That guy is sugu corrupt man Kenyans mzima wanajua Ruto ni fisadi.
 
Kura za Wakalenjini na wakikuyu tu zimetosha kumvukisha this humble God fearing gentleman. Kusema kweli Ruto anastahili kuwa Rais wa Tano Kenya. Namuombea na nitafurahivsana akashinda.
Kwa uchaguzi huu Ruto hawezi kamwe kuwa rais wa Kenya, sio kweli kuwa eti wakikuyu wote watampigia yeye, kwani KENYATA, ameharibu hilo, na yeye mwenyewe kila akipanda jukwaani ni kumsema vibaya Kenyata tu, ili kutafuta kura za huruma!!kwa badaye ataweza kuwa rais ila kwa sasa ni BABA!!
 
Wewe bado mtoto haya nenda kaoshe gari la shemeji yako.
 
Kumbe ndio maana wakuu hawakukubali hayawani aendelee kuitawala tanzania........
You have no right to choice what you see.
Your under one umbrella.
Kenya ni muhimu sana kama base ya interest za wakuu wa dunia.
Hawawezi ruhusu hayawani aingie ikulu.
Utulivu wa nchi za maziwa makuu yaani East Africa na Central Afrika unategemea utulivu wa Kenya so Kenya ni lazima apewe mtu ambae ni matured na mwenye utulivu wa akili.Kenya ikichafuka itaathiri nchi nyingi za kusini Mwa jangwa la sahara.
 
Stupid conspiracy,kama ulimwengu wa kiroho ndio unaleta kiongozi nchini,je Adolf hilter,IdicAmin,Mobutu na wao waliwekwa na huyo roho!?Ili iweje?Ili wafe,harafu huyo roho wa ulimwengu usioonekana anapata faida gani??
Yaani upuuzi aliofanya Maghufur wa kuhakikisha aliowataka ndio wanapiga kwenye uchaguzi,wewe unasema hsyo yote yamefanywa na "nguvu zsizoonekqnq kwa macho""!!ur fucking kidding bro!!waliohakikisha Maghu anapita sie tunawajua,na viongozi wote waliopo sasa walipitishwa na Maghu kwa nguvu za kidola,hakuna Cha ajabu Wala Cha nguvu zsizoonekqnq Wala spiritual intervention ni ufisadi tu,acha kuwa mvivu wa kufikili
 

Ruto hatoi
Hata kama kabila lake lina watu wengi na siasa za Kenya zimekaa kikabila ila Ruto hafiki kokote natabiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…