Wakamatwa kwa kujitangaza kutoa huduma ya internet ya Starlink Instagram

Wakamatwa kwa kujitangaza kutoa huduma ya internet ya Starlink Instagram

Dogo atakua ni Sales Agent au Team Leader.

Mchina atakua line manager.

Biashara ingekua dogo angepandishwa kua Team Leader halafu wanaongezwa Sales Agents.

Tunakua tunapambana na tatizo la ukosefu wa ajira. Dogo atavimba Linkedin na profile yenye uzito kiasi, itakuja startup nyingine itamchukua dogo kwenye ishu za sales.

Anyway, hayo ni mawazo yangu tu.
 
Ni kupoteza muda na nguvu tu, hatua hiyo ni kuipa promo tu, huwezi kuzuia kusambaa kwa teknologia, mzigo upo nchini, na unatembea fresh.
Baada ya miezi michache starlink zitakuwa kila mtaa mpaka maporini, utazikuta mpaka nyumbani kwa RPC.
[emoji16][emoji16]
 
Hapana
Tunaweza jua vifaa vinauzwa wapi na ni vifaa gani vinahitajika?Dm mkuu km una info
,sina information yoyote Mkuu ,nimefikiria hivo tu ,kumbe ukipata vifaa waweza tumia internet ya star link hata kama mamlaka hazitaki
 
Starlink sio kwa ajili ya watu wa vipato vya chini. Hata ikiruhusiwa leo watakaomudu ni wachache mno. Pia kutokuwa na ofisi kwenye nchi walizomo ni upuuzi mwingine wa kukemewa. Ukitaka vifaa unatakiwa uagize Marekani ambapo hapo kati utakutana na madalali kibao. Nape yuko sahihi kuwataka waje kufungua ofisi hapa na vifaa vinunuliwa kwa Tsh.
Nilishaandika kuhusu kulaumiwa kwao huko Zambia.
 
Zina operates kama vile Dish za TV na za Internet ambazo tayari zipo hapa Tanzania , Changamoto Kifurushi kikiisha lazima ukinunue nje ya Tanzania Kwani STARLINK awana Sales/Support Offices kama vile zile za DSTV wenye makao yao makuu nchini South Africa.Hiyo ndo Changamoto. Kenya wapo.
Anhaaa oookay
 
Back
Top Bottom