Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

Sasa kama mtu kajifungua ndani shida nini? Kwahiyo hata wasio funga au wakristo na wao wanafunga Kwa lazima? Hiyo dini utumwa, mnaheshimu mwezi badala ya Mungu, ujue Mungu mwenyewe si mkatili kiasi hicho! Watu mnapekenyua mpaka vya ndani duu[emoji15][emoji15][emoji15] poleni mlioko huko.
 
kuna imani zina mihemko hatari!
 
Uislam ndo dini ya kishetani kuliko zote!
sijaona wakristu tukilazimisha watu wafunge au wasili !!
Na hii nchi si ya kidini kama ni ya kidini ni sawa lakini bado si ya kidini kadiri ya katiba.

viongozi wenye mlengo wa kidini wote tunyonge tulete viongozi wenye milengo ya viwanda na maendeleo
 
Sio haki kama ni habari ya kweli. Imani bila tafakuri ni mzigo kwa kichwa.
 
Kila siku mkiambiwa Zanzibar ni nchi tena ya Kiislamu muwe mnaelewa! Acha tukae na nyimbo za Muungano,Tanzania haina dini! Tanganyika ndiyo ambayo haina dini,lakini nchi ya Zanzibar ina dini.
 
hapa ndio huwa naamini zanzibar inatakiwa kujitegemea iwe nchi nje kabisa ya Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…