Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana akili yoyote. Serikali haikatai kupokea kodi kutoka kwenye biashara kubwa inayotokana na majini.Ila ndio wana akili na ndio walipa kodi wakubwa nchi hii unalijua hilo?
😆😅🤣 Naunga mkono hoja.Nna duka la nafaka, sasa kuna Waislamu huwa wanakuja kununua mchele kwa ajili ya kufungua, sasa ngoja ntawachanganyia na ule mchele wenye virutubisho wakalegee mbele hukoooo
Embu tuchungulie NECTA Kwanza..[emoji23][emoji23][emoji23] unatushauri tuanzie juu ama chini?..Ila ndio wana akili na ndio walipa kodi wakubwa nchi hii unalijua hilo?
kuna imani zina mihemko hatari!Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na kuamua kutoa taarifa mbaya zaidi ametozwa faini ya tsh 50000/=
Ndugu zangu ktka Imani mbona hamuendi kwenye ma hotel ya kitalii mkakamata hao wanaopika mchana na kuwauzia Wazungu chakula?
- Mm nimechukua take away naenda kulia kwangu shida Iko wapi?
-Mtu Yuko ndani kwake anawapikia watu chakula ambao hawajafunga na hawali hadharani shida Iko wapi?
Uislam ndo dini ya kishetani kuliko zote!Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na kuamua kutoa taarifa mbaya zaidi ametozwa faini ya tsh 50000/=
Ndugu zangu ktka Imani mbona hamuendi kwenye ma hotel ya kitalii mkakamata hao wanaopika mchana na kuwauzia Wazungu chakula?
- Mm nimechukua take away naenda kulia kwangu shida Iko wapi?
-Mtu Yuko ndani kwake anawapikia watu chakula ambao hawajafunga na hawali hadharani shida Iko wapi?
Hana ubavu Bali mamlaka kutoka juu.
Kwahiyo kipimo chako cha akili ni necta?? Hii nchi umasikini hauwezi kuisha kwa mentality hiyoEmbu tuchungulie NECTA Kwanza..[emoji23][emoji23][emoji23] unatushauri tunazile juu ama chini?..
Kwahiyo nitoke paje nije kula mjini sio? Alafu mama ntilie Wana watu wao sidhani kama wanaweza kumudu gharama za hilo eneo unalolisemea.
hapa ndio huwa naamini zanzibar inatakiwa kujitegemea iwe nchi nje kabisa ya Tanganyika.Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na kuamua kutoa taarifa mbaya zaidi ametozwa faini ya tsh 50000/=
Ndugu zangu ktka Imani mbona hamuendi kwenye ma hotel ya kitalii mkakamata hao wanaopika mchana na kuwauzia Wazungu chakula?
- Mm nimechukua take away naenda kulia kwangu shida Iko wapi?
-Mtu Yuko ndani kwake anawapikia watu chakula ambao hawajafunga na hawali hadharani shida Iko wapi?
Hii habar ni ya kweli kabisa mkuu.Kama ni kweli basi ni dhahiri shahiri wazenji ni wapumbavu.