Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

Wewe ndio bumunda namba 1 kwa kuamini mwandishi ya mtoa mada
 
Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua...
Hizi imani nyingine zinalindwa kwa mtu wa bunduki!
 
Nipo Zanzibar aiseh kama ujafunga na upo Zanzibar make sure unanunua chakula unaweka ndani la si hivyo utakufa njaa. Nachukia sana kuona watu wakiheshimu mwezi fulani kuliko kuheshimu Mungu
Sema ukiwa Mtanzania Mweusi mbona Watalii wanagonga menu kama kawaida.
 
Autonomy,
Yaani mtatukana, mtaponda, mtachonga na mtaropoka na kuropoka mpendavyo lakini Wazanzibari wana exercise their right of being autonomous.

Ni haki ni halali na sahihi kuamua wafanyeje kwenye baadhi ya mambo na hawawezi kuingiliwa katika hilo si na JMT wala wapiga kelele wasiojua nini maana ya 'position' na Haki zao katika Jamhuri.

Sasa ninyi Vihiyo msiojielewa endeleeni kuimba kama chiriku lakini ukileta ujinga utachapwa hata Bakora, Mijeredi na Mikwaju juu.

Ndio maana mnaambiwa msome, mjifunze muelewe.
Ingekuwa hayo yanafanyika Mwanza, Moro au Arusha ingekuwa sahihi kulalama lakini si Ng'ambo ya pili.

Utake ndio hivyo, usitake ndio hivyo.

Nawasilisha kwa jeuri.
 
Nipo Zanzibar aiseh kama ujafunga na upo Zanzibar make sure unanunua chakula unaweka ndani la si hivyo utakufa njaa. Nachukia sana kuona watu wakiheshimu mwezi fulani kuliko kuheshimu Mungu

Wanamdharauje Mungu mkuu?
 
Duh..
Hivi hao watu hawajui kuwa hata muislamu mgonjwa anayetumia dozi ya dawa hawezi kufunga, anahitaji chakula?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…