Km ni profit free wanawezaje kutu subcontract sisi wengine na tukapata faida na wao JKT wasipate faida? Hakuna anaweza kufanya biashara kichaa km hio.
Mkuu acha ku assume na ku guess mambo.
Hao Wasukuma wanapewa tenda siyo kwa uwezo na uzoefu wao bali wanapewa kwa sababu mwenye Serikali ya Magufuli ni Msukuma wa nyumbani ndo maana ujenzi unakuwa chini ya viwango. TBA, wakala wa Serikali, walipewa tenda kujenga Hostel za kisasa za Chuo Kikuu na kufunguliwa na Rais kwa vifijo na ndelemo na pongezi nyingi lakini wanafunzi walipohamia wakakuta kuna nyufa za kupita paka. Mwanafunzi mmoja jasiri alipiga picha hizo nyufa na kuzisambaza alikamatwa kwa agizo toka juu na kuswekwa ndani mpaka leo hatukuambiwa hatma yake labda bado anasota ndani kama wengi tunaowajua. Mwaka jana Miradi mingi iliyokuwa ifunguliwe na Mbio za Mwenge haikufumguliwa imebaki magofu kwa sababu iligundulika kujengwa chini ya viwango sababu ikiwa kuwapa tenda watu wasio na ujuzi, uwezo wala uzoefu wakiachwa Makandarasi waliosajiliwa. Hata ajira Serikalini Awamu hii zimekuwa zikitolewa kwa upendeleo kutegemea watokako au ni nani wateuliwa au waajiriwa ndo maana utendaji kazi Serikalini umekuwa hovyo sana na ofisi kugeuzwa vijiwe vya vijana kukutania. Hapa kazi tu lakini kazi haionekani!Kuna mmoja alipewa kujenga barabara ya Kahama mjini kwenda mhongolo.. mautumbo aliyoyafanya Mungu anajua.. mitaro mikubwa hiace inapotelea humo, upana wa wabarabara haujazingatia waenda kwa miguu.. barabara imepinda pinda... Na ndio wanajiita wakandarasi wazawa... Wanyimwe mpaka wajue kazi...
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama ndio practice... Basi the entire team ya wataalamu wa Kahama wafukuzwe. Ule ni upuuzi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu ni kweli usemalo ila wengi wao ni wababaishaji ni mateso matupu kwa vijana wanaopata ajira kwa wakandarasi wazawa, mimi ni muhanga wa hawa watu najuta kuwafahamu wanawatumia graduates kwa manufaa yao tu huku watendaji wa kazi wakilipwa ujira kiduchu nasema sina hamu nao hawa watu.Vijana wengi wa vyuo huwa wanapata ajira na field kupitia kwa wakandarasi wetu. Lakini awamu hii ni ngumu mno.
Wakandarasi hawana kazi.
Ina maana makampuni yote Tanzania hayana uwezo?
Mbona wamesajiliwa na wanalipa kodi zote?
Kwa hio mayanga ya mume mwenza wa Pombe Ndio pekee Wana ubora?
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Kampuni ya Songoro Marine ni Wazawa, NHC ni ya Kizawa, TBA wazawa, Suma JKT wazawa, Magereza Wazawa, Mayanga ni Wazawa, Nyanza Construction Wazawa, M/S Saimoo ni Wazawa nk nk zooote hizo zinafanyakazi kwasasa maeneo tofauti Nchini. Tatizo Kampuni nyingi za Wazawa zimejaaa Ukanjanja na Udanganyifu mwingi mnooo.
Mfano kampuni ya Mzawa Nyakirang'anyi Construction huko Bunda Mradi wa Bil 6 amevuta pessa hakuna hata tone la Maji!
Wazawa tumegeuka Waizi sana kwenye miradi ya Serikali, naona kinano kiendeleee tu labda tutapata akili ya Uadilifu.
Sisi Mayanga Constructions tunasema hali ni nzuri mno 😎
Ila MAYANGA ni wazawa zaidi si ndioKampuni ya Songoro Marine ni Wazawa, NHC ni ya Kizawa, TBA wazawa, Suma JKT wazawa, Magereza Wazawa, Mayanga ni Wazawa, Nyanza Construction Wazawa, M/S Saimoo ni Wazawa nk nk zooote hizo zinafanyakazi kwasasa maeneo tofauti Nchini. Tatizo Kampuni nyingi za Wazawa zimejaaa Ukanjanja na Udanganyifu mwingi mnooo.
Mfano kampuni ya Mzawa Nyakirang'anyi Construction huko Bunda Mradi wa Bil 6 amevuta pessa hakuna hata tone la Maji!
Wazawa tumegeuka Waizi sana kwenye miradi ya Serikali, naona kinano kiendeleee tu labda tutapata akili ya Uadilifu.
Mimi sio kibarua, mimi ni Engineer.JKT ni vibarua
Chagua Kati jeshi au engineeringMimi sio kibarua, mimi ni Engineer.
Jamaa katupia miradi mingi sana kwenye hii kampuni yake KINYEMELA tangu akiwa Ujenzi hadi sasa. Yule Mkurugenzi Stephen Makigo anajificha sana ili ufisadi na wizi wao USIBUMBURUKE.
Hakuna kazi ya barabara ambayo tender haijatangazwa iwe Tanroads, Tarura au DMDP...Kuna kampuni nyingine inajenga barabara ya ardhi makongo.. nayo ni kanda ya ziwa.
Hakuna tenda imetangazwa ... tunaona bango na mambo ya ajabu yanafanyika pale.
Nadhani haujamuelewa mleta mada. Anazungumzia kampuni binafsi za watanzania zinabaniwa tenda hazipewi nafasi. Hayo makampuni umetaja mengi ni ya serikali moja kwa moja si ya watu binafsi. Hii ni mbaya kwa uchumi huu ambao serikali imeweza kuajiri raia 500,000 tu, wakati kuna population kubwa ya watu above 18 years of age wanatafuta ajira na hawapati.Kampuni ya Songoro Marine ni Wazawa, NHC ni ya Kizawa, TBA wazawa, Suma JKT wazawa, Magereza Wazawa, Mayanga ni Wazawa, Nyanza Construction Wazawa, M/S Saimoo ni Wazawa nk nk zooote hizo zinafanyakazi kwasasa maeneo tofauti Nchini. Tatizo Kampuni nyingi za Wazawa zimejaaa Ukanjanja na Udanganyifu mwingi mnooo.
Mfano kampuni ya Mzawa Nyakirang'anyi Construction huko Bunda Mradi wa Bil 6 amevuta pessa hakuna hata tone la Maji!
Wazawa tumegeuka Waizi sana kwenye miradi ya Serikali, naona kinano kiendeleee tu labda tutapata akili ya Uadilifu.
Tumia akili wewe..... Kuna tofauti kubwa sana serikali inapoajiri na mtu binafsi anapoajiri.Kwani zikiwa za Serikali Wafanyakazi wanatokea Sudan? Au Mapato yake yanapelekwa Cabo Delgado? Wacha Kazi iendelee Mkuu
Ukiona hivyo ujue ni family affairsKuna kampuni nyingine inajenga barabara ya ardhi makongo.. nayo ni kanda ya ziwa.
Hakuna tenda imetangazwa ... tunaona bango na mambo ya ajabu yanafanyika pale.
Hakuna kazi ya barabara ambayo tender haijatangazwa iwe Tanroads, Tarura au DMDP...
Wewe Kutokua na taarifa haina maana tender haijatangazwa..
Inawezekana kukawa na shida kwenye bid selection ila sio kwenye kutangaza tender...Fuatilia utapata taarifa sahihi
Kuna mmoja alipewa kujenga barabara ya Kahama mjini kwenda mhongolo.. mautumbo aliyoyafanya Mungu anajua.. mitaro mikubwa hiace inapotelea humo, upana wa wabarabara haujazingatia waenda kwa miguu.. barabara imepinda pinda... Na ndio wanajiita wakandarasi wazawa... Wanyimwe mpaka wajue kazi...
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Utoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.
Serikali itufikirie.
===
WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.
Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.