Wakandarasi Tunafilisika. Serikali iangalie utaratibu mzuri wa tenda

Kwa hiyo miradi yote inayoborongwa makampuni hayajalipwa fedha!?

Na makampuni ya wazawa yanayofanya kazi nzuri hapa hapa Kahama.. yenyewe yanakuwa kundi gani!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwanza hakuna makampuni yawe yakigeni au yawazawa yanayofanya kazi kwa 100%, Kuna baadhi yamakampuni yakigeni yameharibu kazi kwa baadhi ya barabara hapa dsm, na mifano ipo.

Makampuni ya wazawa yanapoomba kazi hasa zilizoko chini ya tamisemi, unakuta halmashauri wanahitaji 10%/20% ili watoe tender kwa makampuni husika. Mwisho wasiku halmashauri zinatoa kazi kwa baadhi ya kampuni ambazo hazikidhi vigezo.

Lakini pia kwa asilimia kubwa, Serikali inachelewesha kufanya malipo kwa makampuni yawaza yenye uwezo, nahatimae kuyadumaza.

Kwahio jambo lamsingi Serikali iangalie namna yakuwazeshe makampuni yawazawa yafanye kazi nzuri na kwa faida.

Kwa mfano TBA wanadai walijenga hostel za magufuli(udsm) kwa bill 10, jambo ambalo sio kweli na haiwezekani. Lakini mengi lilikua kuwataka wakandarasi wazawa washushe bei za uombaji tender ili Serikali iwanyonye. Nakutokana na ukosefu wa tender watu wanaamua kuchukua hivohivo tenda ili wasifunge makampuni.

Mfano huko Arusha, kuna kampuni ilitakiwa isambaze milango 83, kwenye hospital kwa gharama ya mill 28, halafu watumie mbao ngumu. Jambo ambalo haliwezekani , mwisho wasiku lazima supplier atoe kazi mbovu.
 
Wanalalamika kwani hawana vichinjio vya tarehe 28?

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
Me ninacho pamoja na mke wangu, tunaenda kumkataa uyu mzee ambaye litia taifa umaskini , kaua kampuni za ukandarasi, ajira hatoi,
Kuna mameja wa Tanesco walipewa waraka kwamba wasitoe tenda kwa wakandarasi wajenge wao, lakini Hakuna ajira wanazo toa. Awamu ya tano imefeli kwa Asilimia 99.9901, Asilimia 0.0099 ndo imefanikiwa na kutupigoa kelele kutwa nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu unazifahamu, Serikali huwa haitoi Ela kwa wakati ,labda za kununulia ndege.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu wa milango ya 83 nimemsoma.. ukweli ni kuwa kuanzia watu wa manunuzi mpaka yeye mwenyewe akili zao zina walakini au hawakupanga kutekeleza from the get go.

Swala la 10 pc ni Uzembe wa makampuni kwa wateja lazima wailipe!? Kwani wakikubali na wakadeliver safi kabisa next Halmashauri haitawapa kazi!?

Tatizo ni kujenga practice kwenye misingi ya rushwa kwanza... Kabla ya kuimarisha uwezo wako.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mzee umepewa 7000 au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazungumzia haya kwa sababu mimi ni muhandisi na nafahama namna kazi zinavyofanywa, tofauti nahapo hutapata tenda ndugu, kabla yakazi unatafutwa nawahusika kuanzia mkurungezi, mpaka wenyeviti wahalmashauri kuwa tunataka tukupe kazi, vipi utatoa ngapi?. Nafikiri jibu utakuwanalo.
 
Nimetoa na Mfano kabisa wa Kampuni iliyopewa 6Bill lkn hakuna hata maji wewe bado unaongea porrojo za vijiwe vya Kashatta na Urrojjo!
Wewe ni CCM oriented ko sibishani na wewe, Huna hoja ya msingi. Fahamu kwamba serikali haitoi ela kwa wakati, sasa nasema wakandarasi tunasema tunaenda na Lissu 28 /10/ 2020. Ndugu yenu asahau urais.
Walimu, waliokosa ajira, wajeda ,wakandarisi except Mayanga sijui wote tunaenda na Ni yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#hahaha

Haya ndugu yangu.

Sema wape unapoweza bila kuathiri utendaji wako. Hayo ndio maoni yangu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
#hahaha

Haya ndugu yangu.

Sema wape unapoweza bila kuathiri utendaji wako. Hayo ndio maoni yangu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hatari mkuu, sema case baadhi nakubaliana na wewe Kuna baadhi ya makampuni yanapewa hela kweli hayamalizi tenda. Kuna kampuni moja iliwahi pewa tenda kwenye kiwanda kimojawapo cha Serengeti breweries kufanya ukarabati, walilipwa Zaidi ya bill 3 lkn mpaka mwisho wasiku walishindwa hatakulipa wafanyakazi. Lkni ilikuwa kampuni ya muirani+mbongo.

Mwisho wasiku walisimamishwa kazi,nakupigwa marufuku kufanya kazi tena mule ndani.
 
Nimetoa na Mfano kabisa wa Kampuni iliyopewa 6Bill lkn hakuna hata maji wewe bado unaongea porrojo za vijiwe vya Kashatta na Urrojjo!
Makandarasi wanafuata maelezo ya washauri. Sasa kama maelekezo yao yana walakin asilaumiwe mkandarasi. Kama maji hayatoki, anayetakiwa kubanwa kwana ni mshauri na sio mkandarasi. Kama sababu ya maji kutotoka inatokana na mkandarasi kwenda kinyume na maelekezo ya mshauri, mshauri bado atawajibika kwa sababu alitakiwa kumrekebisha mkandarasi pale tu alipoona anaenda sivyo.

Amandla...
 
Kesi hizi ni nyingi mpaka utashangaa! Mno. Na kuna wale watu waliokuwa wajilipa mpaka milioni 800 za ukarabati wa barabara za vumbi halafu unawakuta na tipa moja na vijana na makoleo wanaomwaga tuvifusi kwenye mashimo

Mungu anawaona.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kazi sana,ubaya wazee wa 10% wanataka chao kabla hata kazi haijaisha hapo ndio mtiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…