Wakandarasi Tunafilisika. Serikali iangalie utaratibu mzuri wa tenda

Kumbe mayanga construction ya mume mwenza na magufuli ilianzishwa ili itoe huduma ya Bure?
Watanzania tujaribu kuangalia shilling pande zote
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
 
Umeanzaa vibaya umemaliza vizuri..

Umeanza kama.mwana ccm umemaliza kama mchumi mzoefu.[emoji111]
 
Kumbe mayanga construction ya mume mwenza na magufuli ilianzishwa ili itoe huduma ya Bure?
Watanzania tujaribu kuangalia shilling pande zote
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Unfortunately you can’t eliminate that in politics Trump anashutuma chungu mzima kwenye politics za namna hiyo the latest one CIA sijui FBI walitumia club yake huko NJ kama sehemu ya malazi na kuwa charge dollar laki kadhaa if I am not mistaken.

Kuna watu kadhaa lazima wafaidi uongozi wa ndugu yao au biashara zao zinufaike not an ideal situation but that’s the reality.
 
At least Trump mambo yake yapo wazi na kituo kama CNN kutwa wanamjadili
Hapa kwetu si kujadili uovu wa Mr Pombe hata media ikionyesha mkutano wa wapinzani wapo mattani
Kama sio lissu nani angejua nchi hii inaongizwa ki familia?
Ukiona kiongozi au mtawala anabana media ujue anafanya maovu makubwa hataki watu wajue
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
 
Hiyo wala sio siri Tanzania tangia uhuru kuna watu watafaidi mtu wao wa karibu akishika nafasi ya ulaji.

Na duniani kote ipo ivyo huko UK majuzi tu waziri wa usafiri alikuwa na scandal kampa mshikaji wake tender ya kivukoni wakati jamaa alikuwa ata boti hana, kalipwa £7M kwanza kanunua boti ndio kaanza kazi. Kwenye tender bidding kuna watu walikuwa na maboti yao tayari.

That’s life it sucks but that how things are yaani awe raisi halafu hakuna ata mtu wake mmoja alienufaika ata viongozi wenzake watamcheka.

Muhimu ni kukumbushana tu tunaona kinachofanywa.
 
Yote semeni lakini kwa nini vyombo vya Habari vumebanwa Sana kipindi hiki
Je wajua Sasa hivi kwa Mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu hatupati Habari kutoka VOA. BBC. JAPAN SWAHILI n.k?
Ukiona mtawala anabana Sana media ujue anamaovu mengi Sana
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
 
Kuna watu baada ya kustaafu watazeeka haraka.. maana si kwa masimango toka ccm na chadema[emoji1][emoji1]

Hii miaka 5 nchi ilikua inakaribia kusimama.
 
Hizo kampuni zote ulizo zitaja kama NHC na JKT ni serikali
Hizo Zingine ni za family members Chunguza utaona ni mume mwenza na pwa nk
Tumechoka kutawaliwa kidikteta ki Familia
We can't breathe
Kwahiyo wapewe wazawa wapi, maana unasema za kifamilia
 
Tanzania is more than just mayanga construction
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Kiongozi kazi za Mayanga haziwezi kuwa indicative factor ya kuanguka kwa makandarasi. Mayanga hana kazi kiasi cha ku affect sector nzima ya ujenzi. Tujikite kwenye chanzo cha tatizo
 
Kiongozi kazi za Mayanga haziwezi kuwa indicative factor ya kuanguka kwa makandarasi. Mayanga hana kazi kiasi cha ku affect sector nzima ya ujenzi. Tujikite kwenye chanzo cha tatizo
Chanzo cha tatizo
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
 
Sasa kama mayanga anachukua tenda zote wao watapataje?
Mayanga ama yoyote yule mzawa angelikuwa anachukua kazi zote basi makandaraai wasingelia ukata kwani Mayanga angelikuwa anawapa kazi kama wakandarasi wasaidizi / sub contractors kwani yeye mwenyewe asingelikuwa na capacity ya kufanya miradi yote
 
Hizo kampuni zote ulizo zitaja kama NHC na JKT ni serikali
Hizo Zingine ni za family members Chunguza utaona ni mume mwenza na pwa nk
Tumechoka kutawaliwa kidikteta ki Familia
We can't breathe
Nyie mmeisha zoea kupiga fedha bora msipumue mfe kabisa.
Kama wewe mpaka sasa hujafa utasimulia kizazi chako.
 
Ni wezi sasa. Utamshirikishaje mtu ambaye anapenda kuiba na kutotekeleza miradi anayopewa. Kama kuna watu wameicheleqwsha nchi hii basi ni makadarasi. Makandarasi wazawa wananuka choo kwa wizi na ufujaji wa pesa za umma kwa kuto fanikisha miradi kwa mujibu wa kimikataba.

Wakafie mbali huko. Hatuwataki. Waendelee tu kufirisika. Makandarasi wazawa ni washenzi kupindukia hata haya hawana. Wajaribu tena kwenye awamu nyingine au serikali nyingine, lakini sio ya serikali ya Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…