Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!

Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga!

Samia yupo na tume ya mchongo!. Jana Daongote alikuwa anaongelea uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania mwenzetu Mama yuko busy kujarabu kuficha mauaji na kutafuta kiki za machawa. Hii inaonyesha Mama anavyojali deal zake tu na sasa watu wake wanafikiria jinsi ya kujinufaisha kibinafsi.

Ingekuwa uwekezaji wa hivyo zanzibar kizimkazi Mama asingekosa. Kuna wanaosema hakualikwa huko Kenya lakini angeweza kumtuma Nchimbi lakini hataki Nchimbi naye apate umashuhuri hivyo hatuna mtu anatupigania kama Taifa. Tunapiganiwa na wakina Rutto na Museveni!



View: https://www.youtube.com/watch?v=CYRp0MtAct8
 
Mwaka jana Tanzania alikuwa mwenyeji wa ‘Mission 300’ mpaka leo imezindua uwekezaji gani popote ndani ya bara?

Waafrika watu wakupiga soga tu.
 
Unataka aache anachokifanya afanye kila unalotaka wewe afanye?
 
Usimuone vile anaongea visivyoeleweka. Damu za October 29 na kabla ya hapo
 
Back
Top Bottom