Naona unapiga porojo zako .Acha uongo kiasi cha kurudisha ili uvunje mkataba haamui mchezaji bali unapaswa kufuata mkataba unasrmaje, fei alifata mkataba unasemaje ila dube hakutaka kufata mkataba unachosema.
Naona unaleta ushabiki, fei alirudisha mil112 unadhani kwanini hakurudisha mil60 au 200? Unahisi kile kiasi alijitungia tu? Kama unadhani thamani ya fei club ndio ilikuwa inajua mbona haikumuongezea mshahara akabaki na ule ule aliosaini ambao alikuwa anazidiwa hadi na wakina Makambo ambao hawachezi?Naona unapiga porojo zako .
Kwanza nakukumbusha kuwa wote hao FEI na Dube kitendo walichokifanya ni UHUNI na udhibitisho wa Hilo ni kuwa wote wawili walishindwa kesi zao mbele ya TFF. Hata huyu KIBU wenu na yeye anafanya UHUNI uleule.
Pili ni kuwa Bei ya Dube iliamuliwa na Club yake na yeye Kwa Uungwana hakutaka kelele akawalipa kiasi walichotaka AZAM FC . Ukirudi kwenye kesi ya FEI yeye alitaka kuwalipa YANGA kiasi Cha Fedha bila kuwahusisha club yake ambayo ndiyo ilikuwa inajua thamani yake Kwa wakati ule.
NB. Waungwana tutaendelea kupigania UHUNI huu wa wachezaji ukomeshwe .
Ilianza Kwa YANGA, Ikafuata AZAM, Ikafuata COASTAL UNION , Sasa hivi Iko Kwa SIMBA . Huko mbele ni kubaya Kwa mwendo huu.🙏🙏
Hivi wewe unafahamu nashibikia timu gani? Binafsi nilikuwa nataka Dogo apate haki yake tuHiki kiherehere cha Feisali ndio kiliwaponza mkadondokea shirikisho, mlipata nini baada Feisali kuondoka?
Yanga waligoma feisal kuvunja mkataba?au hiyo exit clause ni kuchukua mln 100 na kuweka kwenye acc ya klabu imeisha hiyo?Acha kufananisha scenario mbili tofauti
Kibu hata leo akitaka kuvunja Mkataba anavunja, cha msingi atimize matakwa ya mkataba kwa mujibu wa makubaliano.
Mimi Simba ila Simba yangu haipo smart kabisaMimi YANGA damu ila simba wapo smart sana
Feisal hakufuata utaratibu; "aliombewa" na rais Samia kuwa yanga imwachie nje ya utaratibu kama inataka uwanja.Hata feisal alikua na uwezo wa kuvunja mkataba ndo maana mwishoni alifuata taratibu akavunja
Ila mwanzoni alifanya uhuni na imekua ni darasa kwa wachezaji wengine mfano wa dube na sasa kibu
Umesoma na kuelewa nilicho andika ".....ila Kibu akitoboa.........",nimezungumzia if ikitokea.....? mpaka Kibu tayari kishazinguana na 5imba.Kuna sehemu simba wamewekewa pesa na KIBU wakagoma?
Mkataba wa Dube uliona au unachagua upande sababu ww ni 5imba?Acha uongo kiasi cha kurudisha ili uvunje mkataba haamui mchezaji bali unapaswa kufuata mkataba unasrmaje, fei alifata mkataba unasemaje ila dube hakutaka kufata mkataba unachosema.
Yule shabiki kanichekesha sanaNyie Kibu D kawavuruga madunduka, leo kuna shabiki wao kaomba wimbo wa Kapotea, wa Mbosso Khan eti uende kwa Kibu. Kibu D kazia hapohapo, kulalamika kupokezana.
Fei alishindwa kesi mara mbili pale TFF.Naona unaleta ushabiki, fei alirudisha mil112 unadhani kwanini hakurudisha mil60 au 200? Unahisi kile kiasi alijitungia tu? Kama unadhani thamani ya fei club ndio ilikuwa inajua mbona haikumuongezea mshahara akabaki na ule ule aliosaini ambao alikuwa anazidiwa hadi na wakina Makambo ambao hawachezi?
Kwa ishu ya DUBE yeye ndio alizingua kutaka kurudisha pesa kidogo kuliko waliyokubaliana na AZAM kwenye mkataba endapo ataamua kuuvunja ndiomaana AZAM wakamwambia dube hatutaki hata kukaa mezani na wewe cha msingi fata vipengele vya kuvunja mkataba basi.
Sawa, kwani Feisal hakufanya uhuni? Wa kutuambia sisi tuchague kati yake na Hersi kweli?Me ni shabiki wa Yanga.
Il usema Kibu anaofanyia taasisi ya Simba ni uhuni.
Simba wamempa heshima Leo anawaona takataka
Hii akikushtaki hutoboi kama ametimiza masharti ya kuvunja mkataba wake mwenyewe. Utajikuta mkataba unavunjika na unamlipa.Na hizo ndio best option mambo ya kuvunja mikataba kihuni hakubaliki sasa hivi issue ya Feisali itatumika kama reference mpira hauta chezeka kwa style hii
Huu ni ustaarabu tu wa wenzetu halafu wenzetu kipengele cha mchezaji kuvunja mkataba wake mwenyewe huwa ni gharama kubwa mno, ili dogo aende Madrid na kuikataa Man U angeilipa timu yake fedha nyingi mno.Sasa nikuambie kiasi gani ili iweje, hii business kila mtu anaiendesha kwa style yake.Kuna dogo juzi kasajiliwa na Man kutoka Lille, ila dogo aliitaka Madrid. Lille hawakutangaza dau , walikaa kimya ila waliwaita mezani wanao mtaka, then Madrid kaja na Pound 25m,Man Utd kaja Pound 50m hatimae Man kampata dogo kutoka Lille japo dogo moyo wake ulitaka aende Madrid. What If Lille angesema dogo anauzwa kwa Pound 10m au 20 unazani Lille angeipata hiyo Pound 50m.Ndio maana Fei akapewa options ya kuileta timu inayo mtaka mezani.
Kibu asiporudi na asipolipa si anaripotiwa tu kuwa hajamalizana na Club. Mbona Simba ndo imeshika mpini? Dube alilipa akaenda Yanga, Fei ilikuwa tofauti kidogo.Mimi nawasubiria kwa hamu tuwaone, mtatoboa, kwa style gani. Mimi najua unaruka ruka,ila alichofanya Fei ,Dube na Kibu ni uhuni.
Mchezaji ni mali ya team vyovyote iwavyo hawezi kuvunja mkataba peke yake laZima wakae mezani.Hii akikushtaki hutoboi kama ametimiza masharti ya kuvunja mkataba wake mwenyewe. Utajikuta mkataba unavunjika na unamlipa.
Unabisha wakati huyo huyo Dube ni rejea yako na mpo nae dimbwini huko.Utapiga porojo upigavyo lakini ukweli unabaki kuwa mchezaji ni MALI YA CLUB. Chochote mchezaji atakachotaka kufanya ni lazima kwanza amuhusishe Mwajiri wake ambayo ni club yake . Huwezi kuwa mchezaji unajichukulia tu maamuzi bila kuihusisha club Yako .
NAKUKUMBUSHA KUWA .
Thamani ya mchezaji inapangwa na kuamuliwa na club yake Na si vinginevyo.
Ni sawa haya unayosema ila haya yote wakati wa kutengeneza mkataba huzingatiwa na ndo humbana mchezaji iwapo ataamua kuondoka alipe kiasi gani, akilipa anaondoka. Hata kwa kujibizana kwa barua tu si lazima wakae.Mchezaji ni mali ya team vyovyote iwavyo hawezi kuvunja mkataba peke yake laZima wakae mezani.
Thamani ya mchezaji hauko fixed, team ndo inajua thamani yake muda wowote.
Team inamgharimikia awe Bora, team ndo inampa makocha Bora, inalipia gim, wachezaji wanaomzunguka,
Team ndo inajua
"....Huu ni ustaarabu tu....." kwa hiyo tunakubaliana mpira wetu umejaa uhuni?Huu ni ustaarabu tu wa wenzetu halafu wenzetu kipengele cha mchezaji kuvunja mkataba wake mwenyewe huwa ni gharama kubwa mno, ili dogo aende Madrid na kuikataa Man U angeilipa timu yake fedha nyingi mno.
Kibu asiporudi na asipolipa si anaripotiwa tu kuwa hajamalizana na Club. Mbona Simba ndo imeshika mpini? Dube alilipa akaenda Yanga, Fei ilikuwa tofauti kidogo.