Wakati Feisal anawafanyia Yanga uhuni mashabiki wengi wa simba walimsuport haya sasa imetokea kwa Kibu Dennis wamsuport

Wakati Feisal anawafanyia Yanga uhuni mashabiki wengi wa simba walimsuport haya sasa imetokea kwa Kibu Dennis wamsuport

Acha uongo kiasi cha kurudisha ili uvunje mkataba haamui mchezaji bali unapaswa kufuata mkataba unasrmaje, fei alifata mkataba unasemaje ila dube hakutaka kufata mkataba unachosema.
Naona unapiga porojo zako .
Kwanza nakukumbusha kuwa wote hao FEI na Dube kitendo walichokifanya ni UHUNI na udhibitisho wa Hilo ni kuwa wote wawili walishindwa kesi zao mbele ya TFF. Hata huyu KIBU wenu na yeye anafanya UHUNI uleule.

Pili ni kuwa Bei ya Dube iliamuliwa na Club yake na yeye Kwa Uungwana hakutaka kelele akawalipa kiasi walichotaka AZAM FC . Ukirudi kwenye kesi ya FEI yeye alitaka kuwalipa YANGA kiasi Cha Fedha bila kuwahusisha club yake ambayo ndiyo ilikuwa inajua thamani yake Kwa wakati ule.

NB. Waungwana tutaendelea kupigania UHUNI huu wa wachezaji ukomeshwe .
Ilianza Kwa YANGA, Ikafuata AZAM, Ikafuata COASTAL UNION , Sasa hivi Iko Kwa SIMBA . Huko mbele ni kubaya Kwa mwendo huu.🙏🙏
 
Naona unaleta ushabiki, fei alirudisha mil112 unadhani kwanini hakurudisha mil60 au 200? Unahisi kile kiasi alijitungia tu? Kama unadhani thamani ya fei club ndio ilikuwa inajua mbona haikumuongezea mshahara akabaki na ule ule aliosaini ambao alikuwa anazidiwa hadi na wakina Makambo ambao hawachezi?

Kwa ishu ya DUBE yeye ndio alizingua kutaka kurudisha pesa kidogo kuliko waliyokubaliana na AZAM kwenye mkataba endapo ataamua kuuvunja ndiomaana AZAM wakamwambia dube hatutaki hata kukaa mezani na wewe cha msingi fata vipengele vya kuvunja mkataba basi.
 
Acha kufananisha scenario mbili tofauti

Kibu hata leo akitaka kuvunja Mkataba anavunja, cha msingi atimize matakwa ya mkataba kwa mujibu wa makubaliano.
Yanga waligoma feisal kuvunja mkataba?au hiyo exit clause ni kuchukua mln 100 na kuweka kwenye acc ya klabu imeisha hiyo?
 
Huyo arudishwe kwao Congo tu ndio njia, no way out. Asiye na haya usimuonee haya.
 
Hata feisal alikua na uwezo wa kuvunja mkataba ndo maana mwishoni alifuata taratibu akavunja

Ila mwanzoni alifanya uhuni na imekua ni darasa kwa wachezaji wengine mfano wa dube na sasa kibu
Feisal hakufuata utaratibu; "aliombewa" na rais Samia kuwa yanga imwachie nje ya utaratibu kama inataka uwanja.
 
Acha uongo kiasi cha kurudisha ili uvunje mkataba haamui mchezaji bali unapaswa kufuata mkataba unasrmaje, fei alifata mkataba unasemaje ila dube hakutaka kufata mkataba unachosema.
Mkataba wa Dube uliona au unachagua upande sababu ww ni 5imba?

Ila uhuni hauna upande ndio maana leo ni zamu yako na sababu hatuja ukemea utajirudia tena siku nyingine.

Haya tunawasubiria tuone mtafanyaje, ila ENDAPO KIBU AKITOBOA ( elewa hii sentence),basi kaa ukijuaa atafanya kama alichofanya Fei,tupo hapa ni swala muda tu.
 
Naona unaleta ushabiki, fei alirudisha mil112 unadhani kwanini hakurudisha mil60 au 200? Unahisi kile kiasi alijitungia tu? Kama unadhani thamani ya fei club ndio ilikuwa inajua mbona haikumuongezea mshahara akabaki na ule ule aliosaini ambao alikuwa anazidiwa hadi na wakina Makambo ambao hawachezi?

Kwa ishu ya DUBE yeye ndio alizingua kutaka kurudisha pesa kidogo kuliko waliyokubaliana na AZAM kwenye mkataba endapo ataamua kuuvunja ndiomaana AZAM wakamwambia dube hatutaki hata kukaa mezani na wewe cha msingi fata vipengele vya kuvunja mkataba basi.
Fei alishindwa kesi mara mbili pale TFF.
Rais ndo akawaomba Yanga wamwache tu na ndo Rais kaomba ni amri.
Lakini kwenye sheria fei hakushinda.
Wachezaji hawaheshimu mkataba, mchezaji yupo kwenye mkataba akipata team ikamuongezea hela anavunja mkataba.
Hebu tazama wachezaji professional kama Azizi ki alisain mkataba mapema wa kulipwa million 40 baadae ikaja team ikampA million 97 lakini ameamua kutumikia mkataba sio kwamba hapendi hela anaheshimu mkataba
 
Me ni shabiki wa Yanga.
Il usema Kibu anaofanyia taasisi ya Simba ni uhuni.
Simba wamempa heshima Leo anawaona takataka
Sawa, kwani Feisal hakufanya uhuni? Wa kutuambia sisi tuchague kati yake na Hersi kweli?

Yaani huko 5imba ubaya UBWELILI..!!
 
Na hizo ndio best option mambo ya kuvunja mikataba kihuni hakubaliki sasa hivi issue ya Feisali itatumika kama reference mpira hauta chezeka kwa style hii
Hii akikushtaki hutoboi kama ametimiza masharti ya kuvunja mkataba wake mwenyewe. Utajikuta mkataba unavunjika na unamlipa.
 
Sisi uwa hatuwarogi wachezaji wetu wanataka kuondoka .wala uwa hatugombani nao.
Ukitaka kwenda nendaa.
Huyo muache aruke ruke.
Utafika wakati wa ligi alafu atajua
 
Sasa nikuambie kiasi gani ili iweje, hii business kila mtu anaiendesha kwa style yake.Kuna dogo juzi kasajiliwa na Man kutoka Lille, ila dogo aliitaka Madrid. Lille hawakutangaza dau , walikaa kimya ila waliwaita mezani wanao mtaka, then Madrid kaja na Pound 25m,Man Utd kaja Pound 50m hatimae Man kampata dogo kutoka Lille japo dogo moyo wake ulitaka aende Madrid. What If Lille angesema dogo anauzwa kwa Pound 10m au 20 unazani Lille angeipata hiyo Pound 50m.Ndio maana Fei akapewa options ya kuileta timu inayo mtaka mezani.
Huu ni ustaarabu tu wa wenzetu halafu wenzetu kipengele cha mchezaji kuvunja mkataba wake mwenyewe huwa ni gharama kubwa mno, ili dogo aende Madrid na kuikataa Man U angeilipa timu yake fedha nyingi mno.
Mimi nawasubiria kwa hamu tuwaone, mtatoboa, kwa style gani. Mimi najua unaruka ruka,ila alichofanya Fei ,Dube na Kibu ni uhuni.
Kibu asiporudi na asipolipa si anaripotiwa tu kuwa hajamalizana na Club. Mbona Simba ndo imeshika mpini? Dube alilipa akaenda Yanga, Fei ilikuwa tofauti kidogo.
 
Hii akikushtaki hutoboi kama ametimiza masharti ya kuvunja mkataba wake mwenyewe. Utajikuta mkataba unavunjika na unamlipa.
Mchezaji ni mali ya team vyovyote iwavyo hawezi kuvunja mkataba peke yake laZima wakae mezani.
Thamani ya mchezaji hauko fixed, team ndo inajua thamani yake muda wowote.
Team inamgharimikia awe Bora, team ndo inampa makocha Bora, inalipia gim, wachezaji wanaomzunguka,
Team ndo inajua
 
Utapiga porojo upigavyo lakini ukweli unabaki kuwa mchezaji ni MALI YA CLUB. Chochote mchezaji atakachotaka kufanya ni lazima kwanza amuhusishe Mwajiri wake ambayo ni club yake . Huwezi kuwa mchezaji unajichukulia tu maamuzi bila kuihusisha club Yako .

NAKUKUMBUSHA KUWA .
Thamani ya mchezaji inapangwa na kuamuliwa na club yake Na si vinginevyo.
Unabisha wakati huyo huyo Dube ni rejea yako na mpo nae dimbwini huko.
 
Mchezaji ni mali ya team vyovyote iwavyo hawezi kuvunja mkataba peke yake laZima wakae mezani.
Thamani ya mchezaji hauko fixed, team ndo inajua thamani yake muda wowote.
Team inamgharimikia awe Bora, team ndo inampa makocha Bora, inalipia gim, wachezaji wanaomzunguka,
Team ndo inajua
Ni sawa haya unayosema ila haya yote wakati wa kutengeneza mkataba huzingatiwa na ndo humbana mchezaji iwapo ataamua kuondoka alipe kiasi gani, akilipa anaondoka. Hata kwa kujibizana kwa barua tu si lazima wakae.
 
Huu ni ustaarabu tu wa wenzetu halafu wenzetu kipengele cha mchezaji kuvunja mkataba wake mwenyewe huwa ni gharama kubwa mno, ili dogo aende Madrid na kuikataa Man U angeilipa timu yake fedha nyingi mno.

Kibu asiporudi na asipolipa si anaripotiwa tu kuwa hajamalizana na Club. Mbona Simba ndo imeshika mpini? Dube alilipa akaenda Yanga, Fei ilikuwa tofauti kidogo.
"....Huu ni ustaarabu tu....." kwa hiyo tunakubaliana mpira wetu umejaa uhuni?

Narudia tena mpira ni business, Lille walitaka kumuongezea mkataba, kwani mkataba wake alibakisha mwaka mmoja,dogo akakataa "....Lille hawa kukurupuka kutaja dau la dogo...... sababu walisikia kuna timu zina mtaka......",then zikawaita mezani na kufanya mazungumzo. Sasa unaposema Yanga walikosea kisa hawakutaja dau la Fei ndipo ninapo kushangaa,sababu Yanga alisema anaye mtaka aje mezani.Ila ngojea tuone labda na nyinyi mambo yakiwa magumu mtatangaza dau la kibu,kama walivyo fanya Azam kwa Dube mimi na wasubiria.

Kwa hiyo akitumia Fei style,kwa kudeposit kiasi atakacho kiona yy kinafaa na kesho yake akasema yupo huru mtamruhusu.....? Weka unafiki pembeni na kuwa mkweli.

Halafu nilishawahi kukwambiaga wewe kwenye issue ya Fei ukiruhusu uhuni, kila siku utakuwa unajirudia.......... ukaona hili ni la Yanga,sasa hivi zamu yenu na jana ilikuwa zamu ya Azam.

Utofauti wa Dube na Fei upo wapi au ndio umeamua kuchagua upande........?
 
Back
Top Bottom