Wakati gani mtu anapaswa kuwa na mshauri binafsi wa fedha?

Wakati gani mtu anapaswa kuwa na mshauri binafsi wa fedha?

Hujawahi kuta post online mtu ana 50M anauliza afanye biashara gani? 😅

Au anunue gari gani
Mara nyingi tu. Watu kama hao huwa nawashauri wabeti tu. Pesa kaitafuta mwenyewe kaipata halafu hajui aifanyie nini kana kwamba kaiokota bila kutarajia kabisa.

Najua tunafanya kazi kwa malengo kuwa nikifikisha kiasi hiki cha pesa nitafanya hii biashara au mradi huu au gari unakuwa unajua kabisa nikipata kiasi hiki cha pesa basi nitanunua gari hii au ile sasa inakuwaje hadi unaipata ile hela na huna kazi nayo tena hadi uulize? mimi siwezi labda siwezi pia kufikia hiyo leank ya kuwa na ukwasi wa mabilioni
 
ni muhimu kwa sababu anajua uwanja mpana wa fedha sio pesa fedha ama finance imecover eneo kubwa la uwekezaji

sasa ukimpata au ukiwa naye ni rahisi kukushauri ni nini cha kufanya ama ufanye nn ndani ya muda fulani matokeo yake,,

Issue za Time value of money, ni issue ambazo zipo applicable kabisa, mambo ya corporate finance Yale nimeshaona financial planning za kampuni wanavyo evaluate hayo madude yote, NPV, PAYBACK PERIOD, ARR, IRR n.k

Issue za investment kwenye securities nalo linahitaji hao watu.... ndiyo maana wengi tunaamka na kwenda tu.... Finally unaanza kulia mbona hivi mara vile

Kwenye forex huko, Kuna options, future, kufanya forecasting, n.k

Then hii ni muhimu maake ishu kama za dividends utajuaje usipopitia hapa....

Mwishoni sijui vingi bado kwenye finance lakini kama una ndoto za uwekezaji mtafute financial consultant akusaidie....

Good luck 👍
 
Back
Top Bottom