ni muhimu kwa sababu anajua uwanja mpana wa fedha sio pesa fedha ama finance imecover eneo kubwa la uwekezaji
sasa ukimpata au ukiwa naye ni rahisi kukushauri ni nini cha kufanya ama ufanye nn ndani ya muda fulani matokeo yake,,
Issue za Time value of money, ni issue ambazo zipo applicable kabisa, mambo ya corporate finance Yale nimeshaona financial planning za kampuni wanavyo evaluate hayo madude yote, NPV, PAYBACK PERIOD, ARR, IRR n.k
Issue za investment kwenye securities nalo linahitaji hao watu.... ndiyo maana wengi tunaamka na kwenda tu.... Finally unaanza kulia mbona hivi mara vile
Kwenye forex huko, Kuna options, future, kufanya forecasting, n.k
Then hii ni muhimu maake ishu kama za dividends utajuaje usipopitia hapa....
Mwishoni sijui vingi bado kwenye finance lakini kama una ndoto za uwekezaji mtafute financial consultant akusaidie....
Good luck 👍