Wakati GSM wakiwaficha Mashabiki 'Oya Oya' wengi wa Yanga SC, huu ndiyo Ukweli Kamili wa kuwahusu akina Kisinda, Sogne na Mukoko

Sijakuelewa. Ni point gani unayotaka kui-prove hapa.?

πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Yanga wamesahau kabisa kuhusu Makambo daah
 
Takataka wewe unaandika kishabiki unafikiria tutaelewa upumbavu wako
 
Sure kuna watu wanaosifia Yanga kwenye masuala yasiyohitaji kelele mpaka nawashangaa, issue ya usajili haitaki kelele, tuwekee mtu hapo tumuone akimwaga wino thats all, sio kujibizana kitapeli motandaoni.

Huyu Djuma, toka tuambiwe wamemsajili mpaka leo kimya, hajaonekana popote, jana walikuwa wanapima afya wachezaji wao hakuna mtu, halafu wakiulizwa hao wachambuzi uchwara wanaolipwa na GSM wanatoa majibu ya kisanii.

Nakusubiri kwenye hiyo ya Aucho ulete huo mrejesho, simply Yanga SC inaongozwa kitapeli na wale jamaa ndio maana muda sio mrefu wachezaji huwageuka na kuondoka wasipotimiziwa mahitaji yao ya kwenye mikataba.
 
Wale jamaa wanatumika mpaka wamepoteza thamani, pale EFM wapo kama watatu wa haraka haraka ambao ninaamini wako kwenye payroll ya GSM, wamegeuza kipindi cha michezo kuwa mipasho.
 
Umbea umeanza lini ndugu?
 
Hahahaaa unawajua utopolo nje ndani.
 
GSM anajua sana kuwatumia hawa waongeaji porojo za michezo kwenye radio za fm!! Katika hao wakongo wote mchezaji yanga inayommiliki ni makambo ambae nae amechemka uko alikokuwa!!
Ila wengine wote wapo hapo kwa makubaliano maalumu tu,siku wanaowamiliki wakipata biashara nzuri wanaondoka na utopolo haitapata hata sumni Moja.
 
(Actually Absolute) hii ni Kama Ile Kisinda alivyo mkimbiza Onyango akasababisha tuta na bahatimbaya Onyango aliumeza ulimi. Nia Ajali mbaya Sana.
 
Japo umelileta kishabiki lakini watu wengi tumeanza kuingiwa na mashaka kuhusu sajili za wachezaji pale yanga. Wanamwuza Kisinda kwa dollar 150k wakati mechi moja tu tuliyo wafunga simba wachezaji walipewa motisha zaidi ya 500 milioni! Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuona ni jambo la kawaida, lazima kuna jambo linafichwa.
 
Kafanye utafiti kwenye timu ya mwamed yanga haikuusu na wala haitakuusu, pia usisahau utafiti wa kujua mo ameingiza faida kiasi gani tokea amechukua timu
 
Wale jamaa wanatumika mpaka wamepoteza thamani, pale EFM wapo kama watatu wa haraka haraka ambao ninaamini wako kwenye payroll ya GSM, wamegeuza kipindi cha michezo kuwa mipasho.
East Africa radio ndo takataka kabisa wanapiga kelele utazani walevi wa wanzuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…