Wakati GSM wakiwaficha Mashabiki 'Oya Oya' wengi wa Yanga SC, huu ndiyo Ukweli Kamili wa kuwahusu akina Kisinda, Sogne na Mukoko

cycle ya utopoloni kwa misimu minne ishazoeleka mbona ila safari hii inashangaza kidogo siwaoni kujaa airport kupokea mitambo ya magoli, hii stage ikishapita kuna yanga day watavaa suti na raba watazunguka uwanja watashangiliwa,watatangaza jina la Morrison

After that watasema tunachukua ubingwa kabla ya game 10 baada ya hapo wanashinda mechi 5 mfululizo,wachambuzi kina Priva na kitenge na gazeti la mwanaspoti wanachanganyikiwa kabisa na kusema hii team itafika fainali ya Afrika

sare zinaanza kipa kutoka malia anaanza kuitwa duka,kocha nafukuzwa then KARIA KARIA KARIAAA...TFFFF,MAREFA
THEN next season cycle inajirudia
View attachment 1886695
Sijakuelewa. Ni point gani unayotaka kui-prove hapa.?

😂 😂
 
wana propaganda machine ya hatari..issue ya Djuma shaban imepigiwa kimya na wachambuzi uchwara ingawa haji tena utopoloni, kilichotokea kwa tuisila kisinda ndicho kilichotokea kwa makambo hadi Mzee wa kusinya Zahera akachukua hela yote ya horoya

Yetu macho hili gemu tamu sana kwa kweli, hapo muambie maulid kitenge atangaze ukweli kuhusu sarpong kudai 35,000 usd ili avunje mkataba wakati Gsm wanataka wamlipe miezi miwili tu ya mshahara hadi sasa wameshindwa vunja mkataba ila kina kitenge kama vile hawaoni ni bora akae siku nzima hapo Efm an mtandaoni kusema chama kauzwa
Yanga wamesahau kabisa kuhusu Makambo daah
 
Takataka wewe unaandika kishabiki unafikiria tutaelewa upumbavu wako
 
Sure kuna watu wanaosifia Yanga kwenye masuala yasiyohitaji kelele mpaka nawashangaa, issue ya usajili haitaki kelele, tuwekee mtu hapo tumuone akimwaga wino thats all, sio kujibizana kitapeli motandaoni.

Huyu Djuma, toka tuambiwe wamemsajili mpaka leo kimya, hajaonekana popote, jana walikuwa wanapima afya wachezaji wao hakuna mtu, halafu wakiulizwa hao wachambuzi uchwara wanaolipwa na GSM wanatoa majibu ya kisanii.

Nakusubiri kwenye hiyo ya Aucho ulete huo mrejesho, simply Yanga SC inaongozwa kitapeli na wale jamaa ndio maana muda sio mrefu wachezaji huwageuka na kuondoka wasipotimiziwa mahitaji yao ya kwenye mikataba.
 
Ila tuwasifie kiukweli kwa propaganda machinery yao,kesho ukisikiliza EFM utasikia jinsi kitenge anavyokamaa na habari ya chama huku ya kina Sarpong, Djuma shaban kama hayaoni vile ,dah maskini kipindi changu cha michezo sports Hq kishaharibiwa tayari na yule jamaa
Wale jamaa wanatumika mpaka wamepoteza thamani, pale EFM wapo kama watatu wa haraka haraka ambao ninaamini wako kwenye payroll ya GSM, wamegeuza kipindi cha michezo kuwa mipasho.
 
Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali.

Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na Wadhamini wao Samjo Samjo ( Matapeli Matapeli ) akina GSM wanasema kuwa Wachezaji wao akina Tuisila Kisinda, Yacouba Sogne na Tonombe Mukoko wamepata Ofa Vilabu vingine na wanawauza.

Taarifa za uhakika zikufikie popote pale ulipo kuwa Wachezaji hawa Wote walikuja Yanga SC kwa Mkopo na kwamba Wanaowamiliki ( Timu zao walizotoka pamoja na Wakala zao ) waneamua Kuwauza na kwamba hakuna Pesa ambayo Yanga SC watapata.

Namalizia kufanya 'Ufuatiliaji' kuhusu Taarifa nyingine 'ngumu' ya Kumhusu Mchezaji Khalid Aucho Raia wa Uganda kwani nae kuna Jambo limefanyika juu yake kuja Yanga SC ila Mashabiki Oya Oya ( Washamba na Mambumbumbu ) wa Yanga hawajui chochote Masikini ya Mungu.

Na wanachokifanya sasa GSM kupitia Injinia Hersi Said ni 'Kuhonga' Vyombo vya Habari ( Redio, Magazeti na baadhi ya Bloggers ) na hasa hasa Wahariri pamoja na Wachambuzi ili waisifie na waipambe mno Yanga SC na hizi 'Sajili Takataka' zao.

Na huku Kuhangaika kote GSM wanataka Waaminike, Yanga SC kutulie na Watu ( Wajanja ) waendelee kupiga 10% zao huku baadae kama Kawaida warejeshe Faida kupitia Kuchapisha Jezi 300,000 huku Yanga SC ( Uongozi ) ukidanganywa kuwa Jezi zilizochapishwa ni 100,000 tu.

Yanga wanasajili, ila Simba inajazilia tu.
Umbea umeanza lini ndugu?
 
cycle ya utopoloni kwa misimu minne ishazoeleka mbona ila safari hii inashangaza kidogo siwaoni kujaa airport kupokea mitambo ya magoli, hii stage ikishapita kuna yanga day watavaa suti na raba watazunguka uwanja watashangiliwa,watatangaza jina la Morrison

After that watasema tunachukua ubingwa kabla ya game 10 baada ya hapo wanashinda mechi 5 mfululizo,wachambuzi kina Priva na kitenge na gazeti la mwanaspoti wanachanganyikiwa kabisa na kusema hii team itafika fainali ya Afrika

sare zinaanza kipa kutoka malia anaanza kuitwa duka,kocha nafukuzwa then KARIA KARIA KARIAAA...TFFFF,MAREFA
THEN next season cycle inajirudia
View attachment 1886695
Hahahaaa unawajua utopolo nje ndani.
 
GSM anajua sana kuwatumia hawa waongeaji porojo za michezo kwenye radio za fm!! Katika hao wakongo wote mchezaji yanga inayommiliki ni makambo ambae nae amechemka uko alikokuwa!!
Ila wengine wote wapo hapo kwa makubaliano maalumu tu,siku wanaowamiliki wakipata biashara nzuri wanaondoka na utopolo haitapata hata sumni Moja.
 
(Actually Absolute) hii ni Kama Ile Kisinda alivyo mkimbiza Onyango akasababisha tuta na bahatimbaya Onyango aliumeza ulimi. Nia Ajali mbaya Sana.
 
Japo umelileta kishabiki lakini watu wengi tumeanza kuingiwa na mashaka kuhusu sajili za wachezaji pale yanga. Wanamwuza Kisinda kwa dollar 150k wakati mechi moja tu tuliyo wafunga simba wachezaji walipewa motisha zaidi ya 500 milioni! Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuona ni jambo la kawaida, lazima kuna jambo linafichwa.
 
Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali.

Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na Wadhamini wao Samjo Samjo ( Matapeli Matapeli ) akina GSM wanasema kuwa Wachezaji wao akina Tuisila Kisinda, Yacouba Sogne na Tonombe Mukoko wamepata Ofa Vilabu vingine na wanawauza.

Taarifa za uhakika zikufikie popote pale ulipo kuwa Wachezaji hawa Wote walikuja Yanga SC kwa Mkopo na kwamba Wanaowamiliki ( Timu zao walizotoka pamoja na Wakala zao ) waneamua Kuwauza na kwamba hakuna Pesa ambayo Yanga SC watapata.

Namalizia kufanya 'Ufuatiliaji' kuhusu Taarifa nyingine 'ngumu' ya Kumhusu Mchezaji Khalid Aucho Raia wa Uganda kwani nae kuna Jambo limefanyika juu yake kuja Yanga SC ila Mashabiki Oya Oya ( Washamba na Mambumbumbu ) wa Yanga hawajui chochote Masikini ya Mungu.

Na wanachokifanya sasa GSM kupitia Injinia Hersi Said ni 'Kuhonga' Vyombo vya Habari ( Redio, Magazeti na baadhi ya Bloggers ) na hasa hasa Wahariri pamoja na Wachambuzi ili waisifie na waipambe mno Yanga SC na hizi 'Sajili Takataka' zao.

Na huku Kuhangaika kote GSM wanataka Waaminike, Yanga SC kutulie na Watu ( Wajanja ) waendelee kupiga 10% zao huku baadae kama Kawaida warejeshe Faida kupitia Kuchapisha Jezi 300,000 huku Yanga SC ( Uongozi ) ukidanganywa kuwa Jezi zilizochapishwa ni 100,000 tu.

Yanga wanasajili, ila Simba inajazilia tu.
Kafanye utafiti kwenye timu ya mwamed yanga haikuusu na wala haitakuusu, pia usisahau utafiti wa kujua mo ameingiza faida kiasi gani tokea amechukua timu
 
Wale jamaa wanatumika mpaka wamepoteza thamani, pale EFM wapo kama watatu wa haraka haraka ambao ninaamini wako kwenye payroll ya GSM, wamegeuza kipindi cha michezo kuwa mipasho.
East Africa radio ndo takataka kabisa wanapiga kelele utazani walevi wa wanzuki
 
Back
Top Bottom