demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Sijakuelewa. Ni point gani unayotaka kui-prove hapa.?cycle ya utopoloni kwa misimu minne ishazoeleka mbona ila safari hii inashangaza kidogo siwaoni kujaa airport kupokea mitambo ya magoli, hii stage ikishapita kuna yanga day watavaa suti na raba watazunguka uwanja watashangiliwa,watatangaza jina la Morrison
After that watasema tunachukua ubingwa kabla ya game 10 baada ya hapo wanashinda mechi 5 mfululizo,wachambuzi kina Priva na kitenge na gazeti la mwanaspoti wanachanganyikiwa kabisa na kusema hii team itafika fainali ya Afrika
sare zinaanza kipa kutoka malia anaanza kuitwa duka,kocha nafukuzwa then KARIA KARIA KARIAAA...TFFFF,MAREFA
THEN next season cycle inajirudia
View attachment 1886695
😂 😂