jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Naomba species ya hiyo miti ya mkaa.Hao wakishapata perdiem zao, wakanywa na pombe wakapata na malaya basi sahau malengo yaliyowapeleka, malengo ya miti milioni 400 kila mwaka ni miaka mitano mnakua na miti bilioni mbili hapo utakua na hali ya hewa safi, matunda ya kutosha, mvua nyingi, ukipanda ile miti ya mkaa ndio kabisa unapata fedha za kigeni kutoka nchi kama Kenya, Rwanda, Burundi zambia hapo masoko ni mengi mno
Sawa tu ila alifanya makubwa na kuonyesha namna kiongozi wa nchi anapaswa kufanya kwaajili ya nchi yake.Ndo maana na yeye aliliwa kichwa
Huu MTU unaitwaje?
Wild species.......safi kabisaMfano wa mti wa kupandwa wa mkaa ni huu hapa
View attachment 2421353
Wasukuma mnafanyaje katavi na Tabora?Kweli akili yako ipo makotani.
Wafugaji wanakata miti??
Ila hii nchi inaomesha itakuja kuwa nchi kubwa sana kiuchumi. Kuna hatua zinachukuliwa Itasomwa vizazi vijavyo na tutachekwa sisi wengine tluiokaa kushangaa shangaa tu huku rasilimali zikiwa hazitunufaishiView attachment 2421344
View attachment 2421345
View attachment 2421346
Project kubwakubwa za ngano ethiopia zinaendelea na azma yao kubwa kwenye ngano ni kuilisha afrika nzima kwa ngano,
Kati ya wakulima na wafugaji, yupi hukata miti?Tatizo la Tanzania ni siasa na wanasiasa
Wafugaji wakikabwa, kuna watao watetea.
Ukizuia Mkaa kuna wataolalamika
Yahitajika maamuzi magumu mno
We umepanda miti mingapi mkuuMods nisaidie kurekebisha title ni miti billion 20 sio 2
Kizazi hiki cha bongo fleva wakata mauno,uwahamasishe kupanda mitiWataalamu waelimishe wananchi umuhimu wa miti kwa mfano muda huu kwenye mvua ndio kipindi kizuri cha kupanda miti kwani maji ya mvua yapo mengi, lakini hakuna ubunifu mijamaa ipoipo tu hakuna kampeni ya kimaendeleo waliyofanikiwa wanawaza kupiga pesa tu basi
Ahh unaniangusha siku hizi..mbn umekuwa mtu wa jazba,cmnt kaliKweli akili yako ipo makotani.
Wafugaji wanakata miti??
Wafugaji wanakata miti haaaaaa bila shaka we umekulia fleti za msajili Wakata miti ni Wapasua mbao, wakukima wanaosafisha mapori,wauza kuni, watengeza mkaa wafugaji wao wanatafuta maliaho tu na nimajani tu njoo handeni kwenye shamba langu uone na kwa majirani zangu wakulimaMods nisaidie kurekebisha title ni miti billion 20 sio 2
Amekariri toka kwa SSH Aliyesema maji yameisha kwa ajili ya mifugo 5000 walioko RuvuAhh unaniangusha siku hizi..mbn umekuwa mtu wa jazba,cmnt kali
Ova
Ukipata nafasi ya kupita mida ya usiku road ya Morogoro hadi kibaha tu ndonutajua Dar niwaharibifu no 1 kuna noda zinabeba magunia guta hazioni ndani Same bagamoyo road Kuna siku nilihesabu boda toka kibamba hadi misugusugu kibaha go and return boda zenye magunia4 zilikuwa zaidi ya 80 na ilikuwa safari ya masaa 4 kqenda na kurudi nilienda shambaWazo zuri halina budi kufanyiwa kazi
Why tusitafute alternative energyHuu MTU unaitwaje?
Last week nilikuwa natoka Chalize- Dar ni balaa. Nilihesabu pikipiki si chini ya 300 zimebeba gunia kubwa za mkaaAmekariri toka kwa SSH Aliyesema maji yameisha kwa ajili ya mifugo 5000 walioko Ruvu
Ukipata nafasi ya kupita mida ya usiku road ya Morogoro hadi kibaha tu ndonutajua Dar niwaharibifu no 1 kuna noda zinabeba magunia guta hazioni ndani Same bagamoyo road Kuna siku nilihesabu boda toka kibamba hadi misugusugu kibaha go and return boda zenye magunia4 zilikuwa zaidi ya 80 na ilikuwa safari ya masaa 4 kqenda na kurudi nilienda shamba
Hili nalifanyia utafiti badoEthiopia wamefanyaje kudhibiti ishu ya matumizi ya nishati ya miti
Kila nikiwaona wanapepeza bendera natamani wazishushe sababu hawako serious,unaweka link haifunguki,na huu mchezo uko kwenye link za maana,Ilikuja bilioni 21 za kuwezesha wakulima wadogo wa miti ukiwatafuta wanataka uzoefu na akaunti iwe imenona small scale akaunti inone wakati tumbo nalo linatakaUnatarajia wanaweza wakaja na kitu cha kushikika hao? Ngoja tuwe tunawapa mawazo hapa wakipenda watachukua wasipopenda waache tu, maana sijaona kiongozi mbunifu hapo na sijui wanazurura kila pembe ya dunia wanajifunza ujinga au inakuaje
Nimeona documentary moja Ethiopian wanavyolima mounga kitaalamu nikasema hawa watu wetu V8 zinawazuiq kuwaza vizuri au.Unatarajia wanaweza wakaja na kitu cha kushikika hao? Ngoja tuwe tunawapa mawazo hapa wakipenda watachukua wasipopenda waache tu, maana sijaona kiongozi mbunifu hapo na sijui wanazurura kila pembe ya dunia wanajifunza ujinga au inakuaje