jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Naomba species ya hiyo miti ya mkaa.Hao wakishapata perdiem zao, wakanywa na pombe wakapata na malaya basi sahau malengo yaliyowapeleka, malengo ya miti milioni 400 kila mwaka ni miaka mitano mnakua na miti bilioni mbili hapo utakua na hali ya hewa safi, matunda ya kutosha, mvua nyingi, ukipanda ile miti ya mkaa ndio kabisa unapata fedha za kigeni kutoka nchi kama Kenya, Rwanda, Burundi zambia hapo masoko ni mengi mno
#MaendeleoHayanaChama