Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Huyu jamaa mpuuzi kweli, uwanja wa chato ndege zinatua mara nne kwa wiki, hata mm nlishawahi kwenda dar mwanza kupitia chato tulishusha abiria zaidi ya 20 na wakapanda zaidi ya 18, hivo mtoa mada acha kukaliliNi hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani.
Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
View attachment 2903903