Wakati JPM alijenga uwanja mkubwa wa kimataifa wa ndege Chato, ambao hakuna ndege inayotua zaidi ya kunguru, shule ya wanafunzi 1500 haina choo

Ni hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani.

Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
View attachment 2903903
Huyu jamaa mpuuzi kweli, uwanja wa chato ndege zinatua mara nne kwa wiki, hata mm nlishawahi kwenda dar mwanza kupitia chato tulishusha abiria zaidi ya 20 na wakapanda zaidi ya 18, hivo mtoa mada acha kukalili
 
Endelea kupambana na hayati. Mimi huwa namuita THE UNITY OF MEASURE. Sasa jipime wewe na wengine wote unaodhani wamefanya na watakaofanya zaidi ya Magufuli
 
Ni hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani.

Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
View attachment 2903903
Huu ni upumbavu, wewe uko hai unalalama marehemu aje akujengee choo, Jana bunge limepitisha ununuzi wa ndege ya kupeleka viongozi hospital kama walio hai hamuoni umuhimu wa vyoo kwa hao wanafunzi unalalama kwa marehemu una akili kweli?
 
Ulitaka viongozi waende ulaya na marekani kwa miguu?
 
Wewe ni Mwendawazimu! Kwahiyo chato hakuna watu wanaishi? Chato haiko Tanzania? Weee utakuwa ni CHADEMA!
JPM ukurasa wake umeshafungwa, naona bado mzimu uñakutembelea na kukufanya uweweseke.

Pambana na akina Makonda ili pesa wanazotumia kwenye maigizo wajengee vyoo.
JPM ameshakufa...; Vipi hio shule ina vyoo kwa sasa ?!!!!

Bora mapesa kutupwa Chato kuliko sasa hivi zinatupiwa kwenye akaunti za watu pasipojulikana....

Ni kama zimwi ambalo halikuli likakwisha sasa hivi hili zimwi linatumaliza.....
We CHAWA huna akili kabisa .... kwa hiyo Chato International Airport iwalijengewa Kunguru kutua pale!!?
Tulizeni viuno huyo msukule wenu asemwe ili wengine wenye akili mbovu za ukibaka wasitokee.Marehemu amependeza au hajapendeza?This is called a psychological torturing!Kufeni!
 
Huyu jamaa mpuuzi kweli, uwanja wa chato ndege zinatua mara nne kwa wiki, hata mm nlishawahi kwenda dar mwanza kupitia chato tulishusha abiria zaidi ya 20 na wakapanda zaidi ya 18, hivo mtoa mada acha kukalili
Lini ilikuwa? Weka kivuli cha boarding pass hapa
 
Tulizeni viuno huyo msukule wenu asemwe ili wengine wenye akili mbovu za ukibaka wasitokee.Marehemu amependeza au hajapendeza?This is called a psychological torturing!Kufeni!
Mwambieni Makonda aache kutumia mamilioni kwa vichekesho na maigizo akajenge vyoo huko. JPM hahesabiki tena!
 
Back
Top Bottom