Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Huyu jamaa mpuuzi kweli, uwanja wa chato ndege zinatua mara nne kwa wiki, hata mm nlishawahi kwenda dar mwanza kupitia chato tulishusha abiria zaidi ya 20 na wakapanda zaidi ya 18, hivo mtoa mada acha kukaliliNi hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani.
Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
View attachment 2903903
Marehemu hasemwiNi hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani.
Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
View attachment 2903903
Siyo kazi ya mbunge kujenga vyoo vya shule au miundombinu mingine ktk Jimbo.Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
Endelea kupambana na hayati. Mimi huwa namuita THE UNITY OF MEASURE. Sasa jipime wewe na wengine wote unaodhani wamefanya na watakaofanya zaidi ya MagufuliNi hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani.
Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
View attachment 2903903
Acha chuki...Ni hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani.
Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
View attachment 2903903
Huu ni upumbavu, wewe uko hai unalalama marehemu aje akujengee choo, Jana bunge limepitisha ununuzi wa ndege ya kupeleka viongozi hospital kama walio hai hamuoni umuhimu wa vyoo kwa hao wanafunzi unalalama kwa marehemu una akili kweli?Ni hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani.
Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
View attachment 2903903
Mkuu huku mtaani tumechanga pesa za kujenga hosteli za watoto wetu na tumefanikiwa,iweje hiyo shule yenu huko ishindwe kujenga choo!!? Au hakuna wanaume huko.Etiiii!?!?
Majitu majinga yanatukana watu halafu yanashangaa kwanini hayapewi kura! Hawa wapinzani wa Tanzania ni hatari zaidi ya M23 ya Kongo!Wewe ni Mwendawazimu! Kwahiyo chato hakuna watu wanaishi? Chato haiko Tanzania? Weee utakuwa ni CHADEMA!
Ulitaka viongozi waende ulaya na marekani kwa miguu?Huu ni upumbavu, wewe uko hai unalalama marehemu aje akujengee choo, Jana bunge limepitisha ununuzi wa ndege ya kupeleka viongozi hospital kama walio hai hamuoni umuhimu wa vyoo kwa hao wanafunzi unalalama kwa marehemu una akili kweli?
Mchagga!We CHAWA huna akili kabisa .... kwa hiyo Chato International Airport iwalijengewa Kunguru kutua pale!!?
Punguza mahaba. Uwekezaji wa Mradi mkubwa Kama ule ulipaswa kufanyika sehemu ambayo ingeleta kwa Taifa.Wewe ni Mwendawazimu! Kwahiyo chato hakuna watu wanaishi? Chato haiko Tanzania? Weee utakuwa ni CHADEMA!
Wewe ni Mwendawazimu! Kwahiyo chato hakuna watu wanaishi? Chato haiko Tanzania? Weee utakuwa ni CHADEMA!
JPM ukurasa wake umeshafungwa, naona bado mzimu uñakutembelea na kukufanya uweweseke.
Pambana na akina Makonda ili pesa wanazotumia kwenye maigizo wajengee vyoo.
JPM ameshakufa...; Vipi hio shule ina vyoo kwa sasa ?!!!!
Bora mapesa kutupwa Chato kuliko sasa hivi zinatupiwa kwenye akaunti za watu pasipojulikana....
Ni kama zimwi ambalo halikuli likakwisha sasa hivi hili zimwi linatumaliza.....
Tulizeni viuno huyo msukule wenu asemwe ili wengine wenye akili mbovu za ukibaka wasitokee.Marehemu amependeza au hajapendeza?This is called a psychological torturing!Kufeni!We CHAWA huna akili kabisa .... kwa hiyo Chato International Airport iwalijengewa Kunguru kutua pale!!?
Lini ilikuwa? Weka kivuli cha boarding pass hapaHuyu jamaa mpuuzi kweli, uwanja wa chato ndege zinatua mara nne kwa wiki, hata mm nlishawahi kwenda dar mwanza kupitia chato tulishusha abiria zaidi ya 20 na wakapanda zaidi ya 18, hivo mtoa mada acha kukalili
Mwambieni Makonda aache kutumia mamilioni kwa vichekesho na maigizo akajenge vyoo huko. JPM hahesabiki tena!Tulizeni viuno huyo msukule wenu asemwe ili wengine wenye akili mbovu za ukibaka wasitokee.Marehemu amependeza au hajapendeza?This is called a psychological torturing!Kufeni!