Wakati kataa ndoa mnakomaa, wanaume kamili Wali enjoy Father's day

Haya wait when your aged ukiwa solo ndo utajua nn maana halisi ya familia
 
Wapi nimezungumzia matumizi mzee, nimeongelea upendo
Mkuu point yangu ilikua yule mtoto, unaikwepa kinamna flan. Kwanza ww si upo kwenye ndoa?

Nimeongelea Wale wanao wa nje.
 
Mkuu point yangu ilikua yule mtoto, unaikwepa kinamna flan. Kwanza ww si upo kwenye ndoa?

Nimeongelea Wale wanao wa nje.
Kwani aliyenipigia simu kwa bashsha na kuniwish ni wa nje au wa ndani? Unahisi simpi muda, simjali, angenikumbuka?
 
Kwani aliyenipigia simu kwa bashsha na kuniwish ni wa nje au wa ndani? Unahisi simpi muda, simjali, angenikumbuka?
Ulisema ni wa nje na nilikuelewa, ila nilikuuliza kuhusu malezi ya mwanao ambae yuko nje atakosa father figure. Ofcourse sijasema uhudimii mkuu.
 
Wapo wengi tu mambo yalikuwa hivi. Siku nzima waliitumia na familia na kufurahi pamoja.
 
Naunga mkono hoja japo hata kama huna mke jitahidi basi wanao wawe wanakutembelea hata kila weekend.
 
Huhitaji kuoa ili uwe baba mkuu.

Kuna watu hawajaoa na ni baba wazuri sana na wengine wameoa ila watoto wanateseka
 
Naunga mkono hoja japo hata kama huna mke jitahidi basi wanao wawe wanakutembelea hata kila weekend.
Hakika father figure ni muhimu as malezi ya mama
 
Reactions: Tsh
Haya wait when your aged ukiwa solo ndo utajua nn maana halisi ya familia
Hakuna guarantee yoyote ya kuwa hao unaoita ni familia yako watakuwa na wewe forever.


Best thing ni kujua namna ya kufurahia uwepo wako,punguza kuweka hopes kwa kiumbe kinaitwa mwanadamu.Hutaamini atakavyobadilika.

Bro,Leave with less or no expectations from others.True happiness is within you!!!
 
Happiness within, is an illusion huwezi kufurahia bila wengine, you'll be lying to yourself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…