Wakati kataa ndoa mnakomaa, wanaume kamili Wali enjoy Father's day

📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!

MAMBO YA SIKUKUU NI MAMBO YA KIKE,MWANAUME HALISI WEWE UNAJIPA ZAWADI YA UBABA BORA AU ZAWADI YA KUZALIWA KWA KUFANYA MAMBO SMART KAMA KUNUNUA KIWANJA AU SHAMBA KWAAJILI YAKO,KUJIONGEZA KIELIMU,KULA VIZURI,KUTEMBELEA MAENEO MAZURI LIFE IS ALL ABOUT YOURSELF,ACHENI HIZO CHEAP VALIDATION HAZIONGEZI KITU ZAIDI YA KUWAFANYA WATUMWA WAKE!!!

MWANAUME HAITAJI CHEAP VALIDATION FROM OTHERS MAANA ANAJUA HIYO NI TEMPORARY.Na vitu temporary havidumu.

Mwanaume halisi haogopi kuwa SOLO.
Haya wait when your aged ukiwa solo ndo utajua nn maana halisi ya familia
 
Wapi nimezungumzia matumizi mzee, nimeongelea upendo
Mkuu point yangu ilikua yule mtoto, unaikwepa kinamna flan. Kwanza ww si upo kwenye ndoa?

Nimeongelea Wale wanao wa nje.
 
Kwani aliyenipigia simu kwa bashsha na kuniwish ni wa nje au wa ndani? Unahisi simpi muda, simjali, angenikumbuka?
 
Ulisema ni wa nje na nilikuelewa, ila nilikuuliza kuhusu malezi ya mwanao ambae yuko nje atakosa father figure. Ofcourse sijasema uhudimii mkuu.
 
ukiachana na mambo yanayopositiwa mtandaoni, kwa ground mambo hayapo hivyo kabisa, wewe mwenyewe unajionea hujaposti clip za hiyo enjoyment ukiwa na familia na watoto wako, bali umechukua video za wengine ambazo umewish uwe wewe ndo ulizotupostia

nasisitiza... kwa ground mambo hatapo hivyo, hizo ni expectations tu

kataa ndoa, ndoa ni UTAPELI
Wapo wengi tu mambo yalikuwa hivi. Siku nzima waliitumia na familia na kufurahi pamoja.
 
Ule mchakamchaka wa kutafuta fedha, magari ya kifahari, majumba na "recognition" (sifa na heshima ya kijamii) sio mbaya, lakini huwa unaleta furaha ya muda mfupi sana (temporary fulfillment). Ukishapata gari ulilolitaka, baada ya miezi mitatu linakuwa gari la kawaida tu. Ukipata sifa, kesho watu wanakusahau na kumtafuta mtu mwingine mpya wa kumshangilia.

Mwisho wa siku, legacy ya kweli ya mwanaume na utulivu wake wa nafsi ziko hapo ulipotaja: Nyumba yenye amani, mke bora, na watoto wanaokua katika maadili na upendo. Hakuna akaunti ya benki au tuzo yoyote duniani inayoweza kununua hisia ya kurudi nyumbani jioni ukakuta mke anayekuelewa na watoto wanaokukimbilia wakikuita "Baba." Hapo ndipo kwenye nguvu halisi ya mwanaume (the ultimate sanctuary).
Naunga mkono hoja japo hata kama huna mke jitahidi basi wanao wawe wanakutembelea hata kila weekend.
 
Huhitaji kuoa ili uwe baba mkuu.

Kuna watu hawajaoa na ni baba wazuri sana na wengine wameoa ila watoto wanateseka
 
Naunga mkono hoja japo hata kama huna mke jitahidi basi wanao wawe wanakutembelea hata kila weekend.
Hakika father figure ni muhimu as malezi ya mama
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Haya wait when your aged ukiwa solo ndo utajua nn maana halisi ya familia
Hakuna guarantee yoyote ya kuwa hao unaoita ni familia yako watakuwa na wewe forever.

Best thing ni kujua namna ya kufurahia uwepo wako,punguza kuweka hopes kwa kiumbe kinaitwa mwanadamu.Hutaamini atakavyobadilika.

Bro,Leave with less or no expectations from others.True happiness is within you!!!
 
Happiness within, is an illusion huwezi kufurahia bila wengine, you'll be lying to yourself
 
Back
Top Bottom