Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

Ni Kweli kaka mkubwa ulishiriki kumkabidhi kijana kile kifimbo pale Kwa watiama, au mlishinikizwa?

Anyway, anakuja Arusha, utahamia wapi?
 
Mleta uzi usishindane na aliekutangulia na Wewe jitafute ufanye mambo yako. Mimi sio shabiki wa Makonda lakini muacheni Kaka yangu maana humu katupiga gepu wengi pamoja na kwamba tuna CV za maana.
#Mungu ndiye anayekadiria
 
Kuwa kinara wa kundi la wauwaji na utekaji watu maarufu kama wasiojulikana labda hiyo inaweza kupata nafasi katika hiyo CV yake.
 
Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Makonda hakusoma UDSM rekebisha hapo Kwanza.
 
Back
Top Bottom