Wakati Marekani ikiitaka China ishiriki kudhulumu mafuta ya Urusi, China imeikebehi Marekani kuhusu uelewa wake kuhusu "Jumuiya ya Kimataifa"

Wakati Marekani ikiitaka China ishiriki kudhulumu mafuta ya Urusi, China imeikebehi Marekani kuhusu uelewa wake kuhusu "Jumuiya ya Kimataifa"

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Wakati Marekani ikiwa katika harakati za kuishirikisha China ikubali kudhulumu mafuta ya Urusi, ikidai kuwa hilo ndilo takwa la "jumuia ya kimataifa", China imeikebehi Marekani kwa kuweka ramani mbili za dunia zinazoonesha jumuiya ya kimataifa: Moja ambayo ndiyo jumuiya halisi ya kimataifa, mataifa yote yamepakwa rangi nyekundu.

Ya pili ambayo ndiyo jumuiya ya kimataifa kwenye ufahamu wa Marekani, ni mataifa ya Magharibi tu yamepakwa rangi nyekundu ikiwemo pia Japan, Australia, New Zealand na Korea ya kusini!! Mataifa mengine kwa mujibu wa marekani siyo sehemu ya jumuiya ya kimataifa ikiwemo China yenyewe!

Picha ya kwanza: Jumuiya halisi ya kimataifa. Picha ya pili hapo chini ni sehemu ile nyekundu tu ndio jumuiya ya kimataifa kwa mujibu wa marekani na nchi za magharibi!!

Beijing explains what Western media means by ‘international community’​

China’s Foreign Ministry spokesman posted a map depicting the mainstream media’s perception of the world

Beijing explains what Western media means by ‘international community’


A United Nations General Assembly session in New York City, US, April 2022. Michael M. Santiago / Getty Images
When the Western mainstream media talks about the ‘international community,’ it actually means only the West and its allies, Chinese Foreign Ministry spokesman Zhao Lijian has said.
“What does ‘International Community’ mean?” Zhao wrote on Twitter on Wednesday as he posted a picture of two maps.

The first map, titled ‘The International Community,’ has all the countries of the world painted red.

On the second map, only the US, Canada, the European states, Australia, New Zealand, Japan and South Korea are highlighted in red. The Middle East and the rest of Asia, as well as the whole of Africa, Central and South America, and Russia are gray. Zhao described the map as: “‘The International Community’ according to Western mainstream media.”

1657811031671.png
 
Napenda habari za ukweli kama hizi ambazo Nato hawazipendi, hakuna kitu kinachowaumiza nato kama ukweli, ndio maana Assange wamemuweka ndani mda mrefu na kumpa kesi za urongo kwa sababu hawapendi ukweli, akitokea mtu akiwambia ukweli kama hivi huwaga ananikosha roho yangu
 
Mdo mdo tunaenda kuitoa Uni nakuifikia Multi
Kuna wakati kupitia ujanja wako unaweza ukawa mkombozi kwa wengine kama ilivyo UCHINA na RUSSIA
Pia wakati mwengine kupitia ujinga wako unaweza ukawa unatumika kuwakomboa wengine kama ilivyo kwa UKRAINE
UKRAINE kakubali kua mbuzi wakafara shauri lake maadam sisi wengine tunaenda nakuendelea kukomboka
Hatujui RUSSIA atatupelekaje huko mbeleni ila kwampaka sasa yupo njia sahihi sanaa kwahio sisi tunamtafsiri kwa form yake alonayo sio atayokuja ionesha huko mbeleni
RUSSIA TAIFA TEULE
 
Back
Top Bottom