Wakati Marekani ikijiandaa kupeleka binadamu katika sayari ya Mars, Serikali ya Tanzania ina mpango gani kuwapeleka raia wake?

Marekani Kupeleka binadamu mars bado sana labda baada ya miaka 100.
Hiyo ni project ambayo ipo na serikali inazidi kupush iwe reality na 2030s watatimiza adhma yao.
 
Ndio màana nasema kuna umuhimu wa kuazima wataalamu ili in the near future tuwe na pakuanzia.
Hata hivyo bado tuna magape mengi ya kuziba, taifa lisilo na vipaumbele na dira ya kimkakati ni bure kabisa..hata nikikuuliza au muulize kiongoz yyte akujibu sisi dira ya kimkakati ni ipi?, Majibu hamna!...bado ujinga na umaskini unatusumbua, tutumie teknolojia kwenye mambo yatakayoleta athari Hadi kwa mtu wa chini, kwa taifa hili kwenda mars ni anasa kwa Sasa...fikir taifa Kama USA wataanza 2030's, Russia nafkr labda n 2040's, si mchezo, taifa lenye kunuka njaa Kama hili hata barabara bado nk, USA kuwa taifa kubwa kote huko ila Hadi 2030's.
 
True lakini vipi basi kuhusu hata teknolojia ya satellite 📡🛰️ ambayo itatusaidia kiintelijensia?
 
Hiyo ni project ambayo ipo na serikali inazidi kupush iwe reality na 2030s watatimiza adhma yao.
Changamoto ya kwenda mars sio bajeti pekee, pesa zipo ndio ila kuna changamoto za fuel, landing, orbital insertion, cosmic radiation na ukumbuke mars ina thin atmosphere sio kama dunia,

niliona wanajaribu kukuza chakula artificial UV rays ila bado hawajafika hata robo ya kufanikiwa.

Kwaiyo pesa sio kila kitu kwenye mission kubwa kama hizi
 
Upo sahihi mkuu sikubishii lakini huoni tukianza sasa hata kama ni mdogo mdogo in the near future kwa hapa Africa tutakuwa tishio kubwa! Na hata hao wazungu walianza kama masihara wakati uchumi wao ukiwa ni wa wastani. Rocket 🚀 ya kwanza ilipaa 12.5 metres imagine!
 
Mfumo wa elimu kuanzia chini ungebadilishwa,

huwezi amini kuna mtu anasoma automobile engineering NIT miaka mi4 ana graduate na gpa ya 4.0 hajawahi kukanyaga accelerator ya gari.

Wataalamu wetu ndo hao wanakimbilia kwenye siasa kutafuta pesa.

Msomi akipata kazi baasi na akili inakufa hapo hapo anawaza kuoa kuzaa na kununua ist.
 
Unakumbuka wakati wakina vasco da gama na kina Bartolomeo Diaz wanakuja Africa? Vp maendeleo ya nchi yao ya ureno yalikuwaje? Colonization inaumuhimu sana hapa Duniani.
Sawa. Wewe na familia yako nenda Mars. Sisi tutabaki tuna colonize Bongoland.
 
Marekani imepanga kupeleka raia wake huko sayari ya Mars ifikapo 2030s.

Urusi nayenyewe imepanga kupeleka raia wake Mars ifikapo 2040s .

China nao wamepanga 2040s kama urusi.

Sasa sisi serikali yetu inasubiri nini kwenye huu upande wa teknolojia ya angani? Mpaka sasa kimya hakuna kinachoendelea na muda unazidi kwenda.

Jamani, tunataka kwenda sayari ya Mars! Serikali ya Tanzania iamke sasa walau hata ifikapo na sisi 2040s twende Mars tukaanze kushika mashamba huko?

View attachment 2353928View attachment 2353927
Sisi mwaka 2022 tunapeleka raia wetu Msomera, Handeni Tanga.
 
Huoni kuna umuhimu wa sisi kuwekeza zaidi kwenye teknolojia ya angani? Sasa kwanini tunasoma geography ikiwa hatuifanyii tafiti!
Hatujafikia uchumi huo. Hizo ni major projects zenye gharama sana. Mpala sasa hatuna satellite ya kwetu.. halaf unataka tupeleke watu angani bado safari ni ndefu

Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
 
Sure uko sahihi ila kwa hizi zama yote yanawezekana we can borrow technology from walioendelea sioni shida hapo.
Trust me
We need to steal not to borrow.

Werevu wamenielewa
 
JINSI TULIVYOPANDWA KUTOKEA NIBIRU NASI TUNATAKA TUKAWAPANDIKIZE WATU MARS,THATS GOOD!.
 
Mfumo wa elimu kuanzia chini ungebadilishwa,

huwezi amini kuna mtu anasoma automobile engineering NIT miaka mi4 ana graduate na gpa ya 4.0 hajawahi kukanyaga accelerator ya gari.

Wataalamu wetu ndo hao wanakimbilia kwenye siasa kutafuta pesa.

Msomi akipata kazi baasi na akili inakufa hapo hapo anawaza kuoa kuzaa na kununua ist.
Sasa huoni kwa mantiki hiyo itatuchukua muda mrefu kufika angani? Si bora tuazime wataalamu waje kusaidiana na wa huku kwetu!
 
Hatujafikia uchumi huo. Hizo ni major projects zenye gharama sana. Mpala sasa hatuna satellite ya kwetu.. halaf unataka tupeleke watu angani bado safari ni ndefu

Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
All is possible kama serikali yetu ikiamua na ikipata watu walio tayari kufund hizo space projects.
 
Mimi nina Phd ya Uchumi...
Daktari wa uchumi...
Tanzania heee mbona tutanyooshwa
 
Back
Top Bottom