JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Thamani yake unayoijua wewe ni kiasi gani?Hana thamani hiyo
Kwa bei ya vijiwe vya gahawa ni sahihiMwamnyeto alisajiliwa kutoka Coastal Union Kwa milion 90.
Thaman yake mpaka Leo imeongezeka mara dufu
Wakati msimu wa 2021/22 ukielekea ukingoni taarifa za ndani kutoka Yanga zinaeleza kuwa beki kisiki wa timu hiyo, Bakari Mwamnyeto ambaye alikuwa akitajwa kuwaniwa na vigogo kadhaa amesaini dili jipya.
Taarifa zinaeleza kuwa Mwamnyeto amesaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Tsh milioni 190 kuendelea kuwa mchezaji wa Yanga.
Wanachosubiri ni kumalizana na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Aprili 30, 2022 kisha mambo yatawekwa wazi.
Simba na Azam FC zilikuwa zikimuwania kwa ukaribu beki huyo ambaye mkataba wake wa sasa unamalizika mwishoni mwa msimu huu.
Kwahio tukusaidie ajeHuyo na Kennedy Juma au Ame Ibrahim yupi bora. Huyu akienda Simba atakaa benchi tu hawezi ingia 11 bora ya akina Onyango na Inonga.
BTW Mambo hayajawekwa hadharani tu maana April 30 2022 ndiyo imeshipita.
Hatulipi kashitakiMlipeni aucho deni lake na mtibwa sugar kwanza ndo mumlipe mwamnyeto hela hyo.
Akija simba hakuna wa kuchukua nafasi yake huyo, acha upotoshaji.Huyo na Kennedy Juma au Ame Ibrahim yupi bora. Huyu akienda Simba atakaa benchi tu hawezi ingia 11 bora ya akina Onyango na Inonga.
BTW Mambo hayajawekwa hadharani tu maana April 30 2022 ndiyo imeshipita.
Usifananishe Mwamnyeto Na Vishuzi.Huyo na Kennedy Juma au Ame Ibrahim yupi bora. Huyu akienda Simba atakaa benchi tu hawezi ingia 11 bora ya akina Onyango na Inonga.
BTW Mambo hayajawekwa hadharani tu maana April 30 2022 ndiyo imeshipita.
Pale stars Nani mwenye uhakika wa namba Kati ya Kennedy na mwamnyeto!?Huyo na Kennedy Juma au Ame Ibrahim yupi bora. Huyu akienda Simba atakaa benchi tu hawezi ingia 11 bora ya akina Onyango na Inonga.
BTW Mambo hayajawekwa hadharani tu maana April 30 2022 ndiyo imeshipita.
Milioni 190 ya Zimbambwe ndo sh ngapi kwa Tz?Labda milioni 190 ya Zimbabwe.