kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
Hii hali ni tamu, lakini pia ngumu. Kuna moments natamani tu kuwa ‘lowkey’ lakini siwezi ficha kitu ambacho si mimi niliyekiweka.Kuna aina ya attention haiji kwa makelele, haitegemei pesa wala drama, Inakuja tu bila mimi kuiomba. Nipo tu, lakini watu huwa wananitazama kama najitokeza kwa makusudi.
Nikiingia sehemu najua macho yananifuata. Wengine wanajifanya hawaniangalii, lakini najua presence yangu imebadilisha mazingira.
Kuna watu hunichukia hata kabla hawajanijua. Sio kwa sababu nimewakosea bali kwa sababu kuna kitu kwenye sura au utulivu wangu kinawakumbusha walicho nacho… au wasicho nacho.
Wengine hudhani najidai kumbe nimetulia tu na wanadhani naringa, kumbe niko kawaida tu, ila kawaida yangu haiko kawaida kwa wengi.
Hii hali ni tamu, lakini pia ngumu. Kuna moments natamani tu kuwa ‘lowkey’ lakini siwezi ficha kitu ambacho si mimi niliyekiweka.
Ila nimejifunza kutembea na hii neema bila kuomba msamaha. Situmii vibaya neema hii, lakini pia siwezi kujificha ili kuwafanya wengine wajisikie vizuri.
Sawa,unahoja usikilizwe!Kuna aina ya attention haiji kwa makelele, haitegemei pesa wala drama, Inakuja tu bila mimi kuiomba. Nipo tu, lakini watu huwa wananitazama kama najitokeza kwa makusudi.
Nikiingia sehemu najua macho yananifuata. Wengine wanajifanya hawaniangalii, lakini najua presence yangu imebadilisha mazingira.
Kuna watu hunichukia hata kabla hawajanijua. Sio kwa sababu nimewakosea bali kwa sababu kuna kitu kwenye sura au utulivu wangu kinawakumbusha walicho nacho… au wasicho nacho.
Wengine hudhani najidai kumbe nimetulia tu na wanadhani naringa, kumbe niko kawaida tu, ila kawaida yangu haiko kawaida kwa wengi.
Hii hali ni tamu, lakini pia ngumu. Kuna moments natamani tu kuwa ‘lowkey’ lakini siwezi ficha kitu ambacho si mimi niliyekiweka.
Ila nimejifunza kutembea na hii neema bila kuomba msamaha. Situmii vibaya neema hii, lakini pia siwezi kujificha ili kuwafanya wengine wajisikie vizuri.
Unacopy na Kupaste MkuuHii hali ni tamu, lakini pia ngumu. Kuna moments natamani tu kuwa ‘lowkey’ lakini siwezi ficha kitu ambacho si mimi niliyekiweka.
Ila nimejifunza kutembea na hii neema bila kuomba msamaha. Situmii vibaya neema hii, lakini pia siwezi kujificha ili kuwafanya wengine wajisikie vizuri.
Huwa napenda sana kufanya hivyo nikiona paragraph imebeba madini au ujumbe husika.. Hivyo naichukua kama ilivyo na kuirudia ili kumheshimisha mtoa madaUnacopy na Kupaste Mkuu
Wakati mwingine nahisi ni changamoto lakini nikikumbuka si mimi niliyeiweka, nakuwa mpole na kuendelea na maisha.Sawa,unahoja usikilizwe!
Pande mbili za ufahamu.. Inayozidi nguvu ndio inashindaUnaifurahia hiyo character at the same time huipendi, right?
Naifurahia lakini inanipa changamoto, wakati mwingine nahisi kama ni mzigo mzito unanielemea.Unaifurahia hiyo character at the same time huipendi, right?
Weka picha😁Jamaa utakuwa handsome
Very powefull...sameKuna aina ya attention haiji kwa makelele, haitegemei pesa wala drama, Inakuja tu bila mimi kuiomba. Nipo tu, lakini watu huwa wananitazama kama najitokeza kwa makusudi.
Nikiingia sehemu najua macho yananifuata. Wengine wanajifanya hawaniangalii, lakini najua presence yangu imebadilisha mazingira.
Kuna watu hunichukia hata kabla hawajanijua. Sio kwa sababu nimewakosea bali kwa sababu kuna kitu kwenye sura au utulivu wangu kinawakumbusha walicho nacho… au wasicho nacho.
Wengine hudhani najidai kumbe nimetulia tu na wanadhani naringa, kumbe niko kawaida tu, ila kawaida yangu haiko kawaida kwa wengi.
Hii hali ni tamu, lakini pia ngumu. Kuna moments natamani tu kuwa ‘lowkey’ lakini siwezi ficha kitu ambacho si mimi niliyekiweka.
Ila nimejifunza kutembea na hii neema bila kuomba msamaha. Situmii vibaya neema hii, lakini pia siwezi kujificha ili kuwafanya wengine wajisikie vizuri.
Ni jambo jema unafanya mkuu, pongezi.Huwa napenda sana kufanya hivyo nikiona paragraph imebeba madini au ujumbe husika.. Hivyo naichukua kama ilivyo na kuirudia ili kumheshimisha mtoa mada
Itakua wewe ni mtu wa kujishtukia sanaKuna aina ya attention haiji kwa makelele, haitegemei pesa wala drama, Inakuja tu bila mimi kuiomba. Nipo tu, lakini watu huwa wananitazama kama najitokeza kwa makusudi.
Nikiingia sehemu najua macho yananifuata. Wengine wanajifanya hawaniangalii, lakini najua presence yangu imebadilisha mazingira.
Kuna watu hunichukia hata kabla hawajanijua. Sio kwa sababu nimewakosea bali kwa sababu kuna kitu kwenye sura au utulivu wangu kinawakumbusha walicho nacho… au wasicho nacho.
Wengine hudhani najidai kumbe nimetulia tu na wanadhani naringa, kumbe niko kawaida tu, ila kawaida yangu haiko kawaida kwa wengi.
Hii hali ni tamu, lakini pia ngumu. Kuna moments natamani tu kuwa ‘lowkey’ lakini siwezi ficha kitu ambacho si mimi niliyekiweka.
Ila nimejifunza kutembea na hii neema bila kuomba msamaha. Situmii vibaya neema hii, lakini pia siwezi kujificha ili kuwafanya wengine wajisikie vizuri.
Inaweza ikawa zaidi ya hivyoNdio kusema wewe handsome ama?
Mkuu niweke mimi tena picha mimi sio mleta madaWeka picha😁
Mi huwa nnayo ya "peaceful distance" mtu yeyote akinikera ile nimekereka lazma nijipe ditance tu ni lazma afu inatokea sio kwamba naipanga ila nafsi inagoma kabisa kujihusisha na huyo mtu au kitu kilichopelekea, na sio kwamba nakua na hasira, wala! Ila najisikia tu kuweka distance baada ya muda narudi.Pande mbili za ufahamu.. Inayozidi nguvu ndio inashinda
Najishtukia kwa sababu ninazo ziona kwa macho, hatakama ungekuwa wewe lazima ushtuke kuona unatizamwa bila sababu za msingi.Itakua wewe ni mtu wa kujishtukia sana