Wakati mwingine hauhitaji kusema chochote – uwepo wako husema yote

Kuna aina ya attention haiji kwa makelele, haitegemei pesa wala drama, Inakuja tu bila mimi kuiomba. Nipo tu, lakini watu huwa wananitazama kama najitokeza kwa makusudi.

Nikiingia sehemu najua macho yananifuata. Wengine wanajifanya hawaniangalii, lakini najua presence yangu imebadilisha mazingira.

Kuna watu hunichukia hata kabla hawajanijua. Sio kwa sababu nimewakosea bali kwa sababu kuna kitu kwenye sura au utulivu wangu kinawakumbusha walicho nacho… au wasicho nacho.

Wengine hudhani najidai kumbe nimetulia tu na wanadhani naringa, kumbe niko kawaida tu, ila kawaida yangu haiko kawaida kwa wengi.

Hii hali ni tamu, lakini pia ngumu. Kuna moments natamani tu kuwa ‘lowkey’ lakini siwezi ficha kitu ambacho si mimi niliyekiweka.

Ila nimejifunza kutembea na hii neema bila kuomba msamaha. Situmii vibaya neema hii, lakini pia siwezi kujificha ili kuwafanya wengine wajisikie vizuri.
kuna mawili ni eitha una makalio makubwa au ..........!
 
Leo nilikuwa nawaza kama wewe,NIKAJIAMBIA UKIPITA MBALI NAO WANAKUTETA NA KUULIZA KUHUSU WEWE,UKIWAFUATA KUKAA NAO HAWAKUULIZI CHOCHOTE,UKIZUNGUMZA WANASEMA UNAJIFANYA UNAJUA,UKINYAMAZA WANASEMA UNAJIDAI WAKIKUULIZA SWALI UKISEMA HUJUI WANASEMA UNARINGA NA KUJISIKIA.UKINYAMAZA WANAKOSA YOTE KISHA WANAKUCHUKIA.SAFI MKUU.
 
Ni mtihani mkubwa mkuu, ila msingi ni kuishi bila kujali wanafikiria au kuwaza nini juu yako.
 
Hii hali ni tamu, lakini pia ngumu. Kuna moments natamani tu kuwa ‘lowkey’ lakini siwezi ficha kitu ambacho si mimi niliyekiweka.

Ila nimejifunza kutembea na hii neema bila kuomba msamaha. Situmii vibaya neema hii, lakini pia siwezi kujificha ili kuwafanya wengine wajisikie vizuri.
Mshana acha ushamba wa kuwa unacopy namna hii. Bora kuweka like au kupita kimyakimya.
 
Mi huwa nnayo ya "peaceful distance" mtu yeyote akinikera ile nimekereka lazma nijipe ditance tu ni lazma afu inatokea sio kwamba naipanga ila nafsi inagoma kabisa kujihusisha na huyo mtu au kitu kilichopelekea, na sio kwamba nakua na hasira, wala! Ila najisikia tu kuweka distance baada ya muda narudi.

Hii hali naipenda inanipa amani, lakini pia siipendi inanifanya kuonekana mjeuri kitu ambacho si kweli.

Nliwahi kujipa peaceful distance na mama mwaka mzima, sa si naonekana mjeuri 😁
Ujeuri acha!
 
Back
Top Bottom