Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Nakuelewa.....Naifurahia lakini inanipa changamoto, wakati mwingine nahisi kama ni mzigo mzito unanielemea.
Nakuelewa.....Naifurahia lakini inanipa changamoto, wakati mwingine nahisi kama ni mzigo mzito unanielemea.
Wanasema unakazia au sio mkuuHuwa napenda sana kufanya hivyo nikiona paragraph imebeba madini au ujumbe husika.. Hivyo naichukua kama ilivyo na kuirudia ili kumheshimisha mtoa mada
Mama yako alikuwa anakukera kwa kukuambia umri umeenda uoleweMi huwa nnayo ya "peaceful distance" mtu yeyote akinikera ile nimekereka lazma nijipe ditance tu ni lazma afu inatokea sio kwamba naipanga ila nafsi inagoma kabisa kujihusisha na huyo mtu au kitu kilichopelekea, na sio kwamba nakua na hasira, wala! Ila najisikia tu kuweka distance baada ya muda narudi.
Hii hali naipenda inanipa amani, lakini pia siipendi inanifanya kuonekana mjeuri kitu ambacho si kweli.
Nliwahi kujipa peaceful distance na mama mwaka mzima, sa si naonekana mjeuri 😁
Kwani hajawahi kutokeza hata mtu mmoja kukuambia hilo,Inaweza ikawa zaidi ya hivyo
Sijawahi ambiwa hilo wala....Mama yako alikuwa anakukera kwa kukuambia umri umeenda uolewe
au tajiri mpoleNdio kusema wewe handsome ama?
Yeah ukishaona huyu siye.. No hapohapo unakata mawasiliano na kama ni JF unatupa ignore listMi huwa nnayo ya "peaceful distance" mtu yeyote akinikera ile nimekereka lazma nijipe ditance tu ni lazma afu inatokea sio kwamba naipanga ila nafsi inagoma kabisa kujihusisha na huyo mtu au kitu kilichopelekea, na sio kwamba nakua na hasira, wala! Ila najisikia tu kuweka distance baada ya muda narudi.
Hii hali naipenda inanipa amani, lakini pia siipendi inanifanya kuonekana mjeuri kitu ambacho si kweli.
Nliwahi kujipa peaceful distance na mama mwaka mzima, sa si naonekana mjeuri 😁
Ni nzuri sana japo unaweza ukaonekana una dharau but at the end its your life.. Pale unapoona tu "huyu site" chap weka mipaka na kama ni hapa JF tupa kwa ignore list😂😂😂Mi huwa nnayo ya "peaceful distance" mtu yeyote akinikera ile nimekereka lazma nijipe ditance tu ni lazma afu inatokea sio kwamba naipanga ila nafsi inagoma kabisa kujihusisha na huyo mtu au kitu kilichopelekea, na sio kwamba nakua na hasira, wala! Ila najisikia tu kuweka distance baada ya muda narudi.
Hii hali naipenda inanipa amani, lakini pia siipendi inanifanya kuonekana mjeuri kitu ambacho si kweli.
Nliwahi kujipa peaceful distance na mama mwaka mzima, sa si naonekana mjeuri 😁
Yeah ni sawa na kufanya highlights kwenye vitabu au magazetiWanasema unakazia au sio mkuu
Wachache sana, mfano juzi mmoja ameniuliza eti mimi ni Msomali au, nikamwambia mimi ni Mtanzania, hajakubali kabisa.Kwani hajawahi kutokeza hata mtu mmoja kukuambia hilo,
He is porobali rich mpoleau tajiri mpole
.
Wewe unahisi una niniWachache sana, mfano juzi mmoja ameniuliza eti mimi ni Msomali au, nikamwambia mimi ni Mtanzania, hajakubali kabisa.
Personally, I prefer to be called smart or gentleman instead of handsome because the letter term makes me seem weaker and easier.How does a guy know if he is handsome?
1.If you are handsome the first sign you will get is wherever you go you will notice women are looking or staring at you all the time. Some men also stare at you either out of admiration or of jealousy.
2. Girls, relatives and geniune male friends will often compliment you and tell you about your aesthetic potential or sex appeal!!!
3.The more handsome you are more men will be there around you to always undermine you and misguide others to believe that you are a jerk or waste. They will do it whenever they get a chance in front of girls especially. You will face this more frequently if you are handsome
4.When you are new to a place you will be the one who gets lots of initial attention and care than someone who is not handsome/ is average. However how it is carried on depends on your personality. However its always easy to get started for handsome people.
5. You will find extremely beautiful women is attracted to you but they will never approach you but will always be available for chit-chat for average men. Because beautiful women feels like if they show up their affinity they will loose their strong and carefree persona. They will always think you should be the one who should attend them.
6. Most staright women will find it difficult to hold conversation with you for too long or will try to keep a distance with you, because they are afraid if they do so they will inevitably fall for you. Many women will avoid you because of this. And trust me it's real. Yes, they don't want to take that risk of falling in lust or love for you
Ni baraka za Mungu tu si kingine.Wewe unahisi una nini
Hapana, ila pia kwenye boxer guu la mtoto.Una msambwanda kama wa Poshyqueen??
Sasa wanalionaje hilo guu? Au unatembea utupu?Hapana, ila pia kwenye boxer guu la mtoto.
Kwani tatizo nini? Au na wewe unataka ulione?Sasa wanalionaje hilo guu? Au unatembea utupu?
Kwa hapo lazima washangae.