Wakati mwingine hauhitaji kusema chochote – uwepo wako husema yote

kuna mawili ni eitha una makalio makubwa au ..........!
 
Leo nilikuwa nawaza kama wewe,NIKAJIAMBIA UKIPITA MBALI NAO WANAKUTETA NA KUULIZA KUHUSU WEWE,UKIWAFUATA KUKAA NAO HAWAKUULIZI CHOCHOTE,UKIZUNGUMZA WANASEMA UNAJIFANYA UNAJUA,UKINYAMAZA WANASEMA UNAJIDAI WAKIKUULIZA SWALI UKISEMA HUJUI WANASEMA UNARINGA NA KUJISIKIA.UKINYAMAZA WANAKOSA YOTE KISHA WANAKUCHUKIA.SAFI MKUU.
 
Ni mtihani mkubwa mkuu, ila msingi ni kuishi bila kujali wanafikiria au kuwaza nini juu yako.
 
Mshana acha ushamba wa kuwa unacopy namna hii. Bora kuweka like au kupita kimyakimya.
 
Ujeuri acha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…