Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Na ndio maana GSM ,wakampeleka Eng kule Yanga ,kuwa Chairman, maana ake kama yanga anasaini mikataba itakua na hela ,hivyo ile 51% itakua na nguvu, lkn ile Nguvu sasa inapozwa na Eng kwa kuweka Hesabu sawa ,😂😂😂 ,jamaa walijipangaMpira wa Tanzania umebadilika unafikiri kwanini mo alikataa Simba isipokee pesa za Azam kwa mkataba wa miaka 10, Simba masikini ilikuwa inasajili vizuri kuliko hii tunayoambiwa Ina pesa.