Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Na ndio maana GSM ,wakampeleka Eng kule Yanga ,kuwa Chairman, maana ake kama yanga anasaini mikataba itakua na hela ,hivyo ile 51% itakua na nguvu, lkn ile Nguvu sasa inapozwa na Eng kwa kuweka Hesabu sawa ,😂😂😂 ,jamaa walijipangaMpira wa Tanzania umebadilika unafikiri kwanini mo alikataa Simba isipokee pesa za Azam kwa mkataba wa miaka 10, Simba masikini ilikuwa inasajili vizuri kuliko hii tunayoambiwa Ina pesa.
Lakini sasa mkuu hiyo hisa ya wanachama hakuna wanachochangia, ili kumdhibiti mwekezaji kungekuwa na sheria hiyo 49% wagawane wawekezaji na sio mmoja maana sema kweli timu haiwezi kuendeshwa na wanachama ila mwekezaji tuliye naye pia ni mbabaishaji tuHahahahaha,mkuu ishu ni nguvu ya mwenyekiti anawakilisha wanachama wenye hisa 51% inamezwa na Mwekezaji
Hili liko wazi ,ndio kuna kundi lina fanya harakati vipengele vibadilike nguvu iwe kwa mwenyekiti wa klabu amabaye anawakilisha 51% ya hisa za wanachama
Huwa ni vitu simple ni vile tunapenda kubishanaNtashangaa asipokuelewa
Kwa kuongezea tuu hii michakato haiwez kamilika sasa, si simba wala Yanga,,Hivi kweli mkuu vitu vingine tutumie akili tu ya kawaida kufikiria. Mnataka mwenye asilimia 51 awe tu na sauti kubwa za mdomoni tu pasipo utendaji? Yaani mwenye asilimia 49 atoe pesa zake kusajili na kulipa mishahara halafu nyie msiotoa ela mue na sauti kwasababu mna asilimia 51. Hilo jambo gumu sana, kama mnataka hivyo na nyie wenye 51 inabidi mtoe mpunga kuendesha timu
Kwa simba ni kweli hakuna na hiyo inafanywa makusudi kabisa bila watu kujua , kwann Yanga wako front ktk kuchangia na kuwa wanachama wa club yao na pia wana promotion kubwa kushawishi wanachama kuwa na kadi , kuliko Simba ?Lakini sasa mkuu hiyo hisa ya wanachama hakuna wanachochangia, ili kumdhibiti mwekezaji kungekuwa na sheria hiyo 49% wagawane wawekezaji na sio mmoja maana sema kweli timu haiwezi kuendeshwa na wanachama ila mwekezaji tuliye naye pia ni mbabaishaji tu
Swadakta ,kinachofanyika ni kusogeza muda na kupunguza ule utegemezi ,ili walau fursa iwe officialKwa kuongezea tuu hii michakato haiwez kamilika sasa, si simba wala Yanga,,
Kwamba Simba masikini ilikuwa inasajili vizuri kuliko hii? Sawa twende kwa mifano iliyo hai, je Simba masikini iliwahi kujihakikishia kucheza makundi ya michuano ya CAF kuwa ni swala la kawaida? Kipi ilichofanikiwa hiyo Simba masikini katika kipindi chote hiko kabla ya Mo? Msidamganye na kujiona wa maana na kumdharau huyo Mo wakati kabla ya Mo mlikuwa hata mtambuliki Africa ila leo hii Simba imekuwa maarufu kwenye soka la Africa. Hata kama Mo akaondoka akaja muwekezaji mwingine lakini haiwezi futa ukweli kuwa Mo ndiye aliyeipa Simba mafanikio na ndiye aliyewaonesha mwanga.Mpira wa Tanzania umebadilika unafikiri kwanini mo alikataa Simba isipokee pesa za Azam kwa mkataba wa miaka 10, Simba masikini ilikuwa inasajili vizuri kuliko hii tunayoambiwa Ina pesa.
Sasa ktk hizo 49 % na hizo 51 % unazijua kampuni zinazounda hizo 49 % ?Mgawanyo wa hisa
Simba Sports Club - 51%
Mo Dewji - 49%
Mwekezaji hadi leo hawajeka 20b za hisa 49%, ila ndio anaendesha kila kitu na kutengeneza faida bila jasho.
Mwenye hisa 51%, hana sauti kwa lolote, wakati timu ni ya kwake.
Kwa taarifa iliyoko public, 49% kanunua(bado hajatoa hela) Mo Dewji, katika hisa 100 za Simba Sports Club, na 51% ndio alizobaki nazo Simba Sports Club.Sasa ktk hizo 49 % na hizo 51 % unazijua kampuni zinazounda hizo 49 % ?
Ahsante kwa taarifa ,ila kununua ni kutoa hela ( km hujatoa hela hujanunua bado )Kwa taarifa iliyoko public, 49% kanunua(bado hajatoa hela) Mo Dewji, katika hisa 100 za Simba Sports Club, na 51% ndio alizobaki nazo Simba Sports Club.
Tatizo ni mifumo.Hahahahaha,mkuu ishu ni nguvu ya mwenyekiti anawakilisha wanachama wenye hisa 51% inamezwa na Mwekezaji
Hili liko wazi ,ndio kuna kundi lina fanya harakati vipengele vibadilike nguvu iwe kwa mwenyekiti wa klabu amabaye anawakilisha 51% ya hisa za wanachama
Swadakta na GSM waliliona hili mapema ,nadhani wale la liga waliwasaidia jinsi ya kudeal na hizi team za ummaTatizo ni mifumo.
Mfumo wa Yanga na mfumo wa Simba ni mifumo miwili tofauti na ni ngumu sana kwa mfumo wa Simba mwenyekiti wa upande wa wanachama ndiye awe na sauti labda itokee na upande wa wanachama nao watoe pesa kwaajili ya kuendesha timu.
Mfumo wa Yanga hauna mlolongo mwingi
Kuna mwekezaji ambaye ni GSM
Halafu kuna raisi wa timu, halafu kuna C.E.O
Ukichukua nguzo zote unaona kabisa Yanga ni GSM na mashabiki na wanachama wameridhika hakuna makundi makundi Yanga.
Ila upande wa Yanga nako mchakato umeganda kilichopo sasa sivyo ndivyo ilivyopaswa iwe. Kuna michakato bado kama vile Yanga kuwa kampuni, idadi ya wawekezaji kama ilivyotakiwa, n k. Sijui labda mchakato utaendelea mbele au watu wanaona kinachoendelea ni ishara nzuri ya mafanikio bora kuishia hapo.Swadakta na GSM waliliona hili mapema ,nadhani wale la liga waliwasaidia jinsi ya kudeal na hizi team za umma
Hiyo michakato haiwezi kufika mwisho ,kama inavyotakiwa ama itachelewa sana ,kumbuka wamiliki halisi wa Simba na Yanga ni Serikali ,sasa Serikali haiwezi kuziachia hizo timu moja kwa moja ,zijiamulie mambo yaoIla upande wa Yanga nako mchakato umeganda kilichopo sasa sivyo ndivyo ilivyopaswa iwe. Kuna michakato bado kama vile Yanga kuwa kampuni, idadi ya wawekezaji kama ilivyotakiwa, n k. Sijui labda mchakato utaendelea mbele au watu wanaona kinachoendelea ni ishara nzuri ya mafanikio bora kuishia hapo.
Kilomoni hakukataa uwekezaji Bali alipinga namna zoezi Zina la uwekezaji lilivyoendeshwa. Mtu akihoji uwekezaji was no wengi wanafikiri wanapinga uwekezaji sio kweli.Inatengeneza faida lakini mtu kama kolomoni angefanya simba iwe ombaomba,tulishapita huko enzi hakuna uwekezaji,timu inahitaji mwenye hela awekeze siyo mtu asiye na kipato ategemee kwanza faida ndo aendeshe timu
Simba kama bado kuna watu wanaabudu matunguli kuifunga yanga tumekwisha.Sisi mashabiki wa simba tuna imani kubwa na Mwanachama mzalendo wa kweli kabisa, Mzee Kilomoni. Kama vipi akabidhiwe timu aisimamie.
Lakini kwa sasa tulipo kumtoa Mo ili mambo yaende sawa ni ngumu sana,maana ameweka washauri wake kibao, kila mwenyekiti anayeingia,wakurungenzi na wengineo ndo anawapanga yeye,inshort anakula nao, sasa Simba ipone vipi?Kilomoni hakukataa uwekezaji Bali alipinga namna zoezi Zina la uwekezaji lilivyoendeshwa. Mtu akihoji uwekezaji was no wengi wanafikiri wanapinga uwekezaji sio kweli.
Sheria ulisema timu za wanachama Kama Simba na yanga ziruhusiwe kuuza hisa zisizopungua asilimia 49 kwa wawekezaji wasiopungua watatu. Kwanini mo amepewa hisa zote peke take? Hapo ndio tatizo linaanza.
Mo kazuia udhamini wa Azam wa miaka 10 kwa bilioni 41 akidai brand ya Simba ipo juu zaidi ya yanga hivyo hawawezi kupata udhamini sawa na Simba Kama watapungukiwa pesa wamwombe. Hapo unaona kabisa no hataki Simba ijitegemee. Yeye mwenyewe kajaza matangazo yake kwenye jezi ya Simba kwa matangazo ya milioni 250. Kampuni yake ya Moro polyester inauza kanga za Simba bila club kupata hata Senti tano. Yeye mwenyewe analalamika anapata hasara lakini anasema wakati timu inaingia makundi walipata mdhamini wa kulipa bilioni 1.6 lakini akakataa kwa sababu alitaka kutangaza visit Tanzania.
Mo ndio tatizo namba moja Simba anaitumia Simba kwa manufaa binafsi ndio maana uwanja inaitwa mo Arena, alianzisha madoli akawa anayaita no friend na Kilomoni alimjua ndio maana akakataa kumpa hati za jengo.
Historian ya Simba Afrika inaanzia mwaka 74, mwaka 79 iliweka rekodi ya Aina take ya come back na mwaka 93 ulifika fainali ya Afrika, mwaka 2013 ilimtoa bingwa mtetezi na kuingia makundi. Mo aliichukua African Lyon ikamshinda, aliichukua Singida ikamshinda na wakati mchakato unaanza wapo wawekezaji waliojitokeza Kama mtoto wa Bakhresa ambao walikuwa na ofa nzuri Ila alitumia rushwa na ushawishi awe peke take kusema bila mo Simba isngejulikana Afrika ni kuikosea heshima.tatizo kubwa ilikuwa namna timu inavyoendeshwa. Dalali na elimu take ya darasa la nne alibuni Simba day na mapato akanunua uwanja wa Bunju ambao mpaka Sasa hakijafanyika kitu kikubwa.Kwamba Simba masikini ilikuwa inasajili vizuri kuliko hii? Sawa twende kwa mifano iliyo hai, je Simba masikini iliwahi kujihakikishia kucheza makundi ya michuano ya CAF kuwa ni swala la kawaida? Kipi ilichofanikiwa hiyo Simba masikini katika kipindi chote hiko kabla ya Mo? Msidamganye na kujiona wa maana na kumdharau huyo Mo wakati kabla ya Mo mlikuwa hata mtambuliki Africa ila leo hii Simba imekuwa maarufu kwenye soka la Africa. Hata kama Mo akaondoka akaja muwekezaji mwingine lakini haiwezi futa ukweli kuwa Mo ndiye aliyeipa Simba mafanikio na ndiye aliyewaonesha mwanga.
Rita wamewaambia warudi kwenye marekebisho ya katiba pia inabidi watafutwe wawekezaji wengine Kama katiba inavyosema ili kukabiliana na changamoto zilizojitokeza.Lakini kwa sasa tulipo kumtoa Mo ili mambo yaende sawa ni ngumu sana,maana ameweka washauri wake kibao, kila mwenyekiti anayeingia,wakurungenzi na wengineo ndo anawapanga yeye,inshort anakula nao, sasa Simba ipone vipi?