Wakati mzee kilomoni anapinga janja ya Mo dewji alionekana mbaya


Mwanzoni alisusa akaenda Singida utd lakini pia singida ikamshinda kwa kuwa haina base ya kutosha ya mashabiki,,

Akarudi Simba,,
Tuende mbele turudi nyuma mo anapata faida ndio mana hatak wenzie waingie,,
 
Mkuu embu rudi shule.
 
Kuchekana ndio utani wenyewe, ni upepo tu,, unafikiri Hersi apigi 10%? Kutesa kwa zamu,, mda wenu huu mfuraie kwani kukaa namba 1 haishindikani ila kukaa milele haiwezekani,

Miaka ile enzi za sarpong [emoji16] mliona kila rangi,,
Acha mzee, enzi za Yikpe, Nchimbi n.k
 
Mkuu suala la kuonesha mwanga ni suala la muda, lingeweza kudondokea kwa mwekezaji yoyote yule, mbona simba imewahi kufika mpaka fainal? MO alikuwepo miaka hiyo ya huko nyuma?
 
Kifupi ni kwamba huu mfumo wa 51/49 hauwekaniki
 
Hapa umetaja matumizi tu mkuu, sasa taja na mapato ya timu

Una akili kama za MO wewe, kila saa ni kutaja matumizi tu hivi mbona hamtaji hela inayopatikana nyie watu?
 
Swala sio timu kupewa kilomoni hoja zake baada ya miaka mitano ndo zimeonekana zina-mashiko

We unaona ni sahii una mwenyeketi ambaye hana mamlaka yeyote yale
 
Ndo tatizo linapoanzia hapa hata dewji ukimuuliza hili swali anakua mbogo
 
Ahsante kwa kunielewa kilimon haya mambo aliyaona na moja ya vitu alivyopinga ukitoa mfumo wa uongozi ni uwanja wa simba wa bunju kuitwa mo arena
 
Mo dewji akiondoka sahivi simba hawawezi kosa mwemezaji matajiri wengi sana wanaitamani ile timu
 
Mwekezaji ananufaika na timu kupitia kutangaza bidhaa zake, fikiria mo Energy inavyo uzika bado bidhaa nyingine, kumbuka pia mwekezaji huyo huku kwenye hesabu zake za kampuni anaweka hesabu zake, ametumia mamilioni kutangaza bidhaa hizo, ndiyo maana mwekezaji italazimika aingie gharama kuihudumia timu, anayonufaika nayo kibiashara.

Hawa wenye asilimia 51 hawa mchango wao mkubwa ni fansbase,
 
Mambo ya mangungu kutokua na mamlaka hilo ni lake,na kama ni hivyo ajiuzulu sasa ili tuone tatizo la Moo.Wanachama wana haki yakumpigia kelele mangungu kwasababu yeye ndiye anayehusika kuwaunganisha wanachama na Moo.Mapungufu ya Moo yeye ndiye aliyetakiwa ayaelezee kwa wanachama ili ufumbuzi upatikane.Kama hawajibiki awapishe wanaoweza.Ni rahisi kumuwajibisha mangungu kuliko kumtoa Moo simba.Hizo kauli za kusema kuna wafanyabiashara wengi wanaitamani simba uko ni kutaka kubet.Waulize yanga baada ya Manji kuondoka waliishije na imewachukua miaka mingapi kumpata Gsm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…