Wakati mzee kilomoni anapinga janja ya Mo dewji alionekana mbaya

Mpira wa Tanzania umebadilika unafikiri kwanini mo alikataa Simba isipokee pesa za Azam kwa mkataba wa miaka 10, Simba masikini ilikuwa inasajili vizuri kuliko hii tunayoambiwa Ina pesa.
Simba ipi hiyo maskini iliyokua inasajili vizuri na usajili wao uliifikisha wapi simba?.kwasababu mafanikio yote makubwa ya miaka ya karibuni ni mkono wa Mwekezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliwaonya nilikuwa nao kazini,wakawa wanatuita timu bakuli .Tukawaambia Bora bakuli kuliko kuwa mke mdogo ,na Dewj alitamka yeye kwamba Simba ni mke mdogo wake.Hawakuelewa.Sasa Nasemaje! Nnasemaje " MPAKA WaSEME,naa WATASEMA.
Kumbe alitamka haya maneno na sisi wanalunyasi tumetulia kabisa!

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Huu ndio utahira wa kitanzania na mashabiki wa simba?!!, Kwahiyo unaamini kuwa Mo anatoa msaada Simba?. Kwamba bila Mo hakuna wakuendesha timu?, Simba sio Ihefu Wala namungo punguza kufikiri kupitia pua.
 
Mo dewji akiondoka sahivi simba hawawezi kosa mwemezaji matajiri wengi sana wanaitamani ile timu
Ndo hivo ndo maana hataki kutoka akaanza kutengeneza uwanja fasta ingawa aliupachika jina lake,huyu jamaa anafanya mambo yake ndani ya Simba, nadhani hata hela za mashindano ya CAF asilimia kubwa inaenda kwake,anatuliza viongozi kwa bahasha halafu promo inafanywa wanaleta wachezaji wazuri mwisho wa siku ni magarasa
 
Mkuu ni kweli mambo ya kupinga upigaji wa Mo ni ya Magungu,kama mwenyekiti anajielewa Mo hawezi kukaa hapo
 
Huu ndio utahira wa kitanzania na mashabiki wa simba?!!, Kwahiyo unaamini kuwa Mo anatoa msaada Simba?. Kwamba bila Mo hakuna wakuendesha timu?, Simba sio Ihefu Wala namungo punguza kufikiri kupitia pua.
Unafir..wa
 
Manji alipoondoka yanga nani alitegemea angekuja GSM!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…