Wakati nchi iko kwenye changamoto lukuki, Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako nje ya nchi

Ila nimefuatilia misafara ya mapokezi ya Waziri Mkuu kule Japan na Korea na Rais Samia kule Uchina,Cha kushangaza sijaona Landcruiser VX V8 au viongozi wa uko hawapendi ilihali ni matajiri kuliko sisi?
Miafrika imelaaniwa, hasa mitanzania!
 
Aisee, una uchungu Sana, ila wewe ni mkweli Sana!
 
viongozi wetu wao ni safari na kumtupia lawama mungu kwamba ndio ameyaleta haya sio wao.
Acha uongo.
Hawaelekezi lawama kwa mungu bali kwa marehemu Magufuli.
Eti alikula fedha za mikopo ya elimu ya juu miaka ya 2016/2018 ndiyo maana wao hawana pesa ya kuwakopesha vijana wengine wengi.
Alitumia miundombinu ya umeme bila matengenezo ndiyo maana tangu afe na January Makamba kuwa waziri wa nishati umeme umekuwa wa shida.
Alifungia nchi ndiyo maana mwaka 1 toka afe tukaanza kukosa pesa za kuwalipa watumishi wa umma mishahara yao kuanzia tarehe ishirini na kitu.
Na mengine mengi ....
Sijui alifanya nini hadi ukame umezidi, kuna mdau humu JF kasema kisa mradi wa umeme wa Bwawa la Nyerere kule Selous.
 
 

Attachments

  • IMG-20221103-WA0822.jpg
    131 KB · Views: 2
UONGOZI NI PAMOJA NA KUPATA EXPOSURE KUBADILISHANA MAWAZO NA WENZAO MLITAKA WAKAE HUMU NCHINI KAMA YULE, NENDENI VIONGOZI WETU TUNAAMINI MTAJIFUNZA KWA WENGINE NA SIO KUJIFUNGIA NDANI KAMA WANAWALI.
Kichwani mwako wwe ni empty na ww unajiona eti mtu Jf humu kumbe kuna vilaza kama ww mbumbu mkubwa ww
 
Wanatafuta pesa za kutatua changamoto,kuegesha makanyagio yako ndani na kutoa matako sio kutatua,kutatua ni pesa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221104-063644.png
    263.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20221103-180550.png
    138.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221104-063621.png
    286.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221103-223336.png
    97 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221103-223319.png
    236.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221103-122356.png
    121.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221103-110418.png
    299.9 KB · Views: 2
Watakwambia wameenda KUHEMEA.

Akili zimefikia ukomo. Hao viongozi wamegoka CCM, na hivyo jamii ijue status ya chama kwa sasa imefikia ukomo. Hakuna jipya ni maigizo
 
Akisafiri kuna faida gani? Angewaambia waje hapa! Hakuna lolote!
ziara za raisi hazipangwi kama wewe unavyopanga kwenda kwa bibi yako mganga kule kijijini,soma jifunze elewa. kama hujui uliza
 
Kichwani mwako wwe ni empty na ww unajiona eti mtu Jf humu kumbe kuna vilaza kama ww mbumbu mkubwa ww
πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡ point pro empties brains, someni jifunzeni kutoka kwa wengine, "binadamu atakapojiona yeye ndio alfa na omega fahari huyo ni AMNAZO!
 
 

Attachments

  • 1976905A-0FCC-4FF1-9B56-020962E77640.jpeg
    27.4 KB · Views: 2

waache, hata wakitoka nje ya sayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…