Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani .

Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata .

Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana.

Tukiangalia level ya civilization wazanzibar wametutangulia we have to learn from them .
 
Kuoe hakuna njaa za kiboya!!msosi nje nje!!

Sasa huku Hadi mawaziri njaa!wote wezi na Sasa wanalipwa mshahara wa bure!! Na hawashtuki!!

Lakini October tuna tick!!

KAZI na utu tunasonga mbele!!
 
Zanzibar wastaarabu na sana roho nzuri sana ukilinganisha na bara ila ni wavivu na vilaza
Hakika hawa jamaa ni vilaza kinoma Ila wanaishi good life na wanapendana Sana Ila darasani ndo hawawezi
 
Unapotezaje simu mara tatu?
 
Ungetafuna hadharani kipindi fulani uwajue kiundani zaidi.
 
Wakakuletea gheto wamefunga msuli wakinyata..
 
Una kauzembe flan hivi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…