Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 11,394
- 21,391
Inategemea na aina ya simu pia.
www.mwananchi.co.tz
NB:Hiyo taarifa juu ni takwimu tupu siyo blah blah.
Sababu zatajwa matukio ya kihalifu kuongezeka Zanzibar
Kukua kwa idadi ya watu kusikoendana na kuwapo kwa ongezeko la shughuli za kujiingizia kipato, kumetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazochochea ongezeko la matukio ya uhalifu visiwani Zanzibar.
NB:Hiyo taarifa juu ni takwimu tupu siyo blah blah.